Burudani

Chege kuitambulisha video ya ngoma aliyofanya na Runtown, SA na Nigeria

Chege Chigunda amesafiri kuelekea nchini Afrika Kusini na baadaye ataelekea Nigeria ili kuweka mazingira mazuri ya kuanza kuitambulisha video ya wimbo aliomshirikisha Runtown wa Nigeria.

Chege

Meneja wa TMK Wanaume Family, Said Fella ameiambia Bongo5 kuwa video na wimbo huo kwa hapa nyumbani vitaachiwa December 4.

“Chege yupo South kwaajili ya ile kazi na Runtown,” amesema Fella.

“Hapa nyumbani itatambulishwa tarehe 4 lakini hivi karibuni Chege ataanza kuitambulisha South Africa na Nigeria.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents