Burudani
Chege afungua duka
Said Juma a.k.a Chege Chigunda kutoka TMK Wanaume Family ameamua kuwa mjasiriamali na kujitupia katika bishara ya duka la nguo ili kujiongezea mkwanja, badala ya kutegemea muziki peke yake.
“Duka langu lipo pande za Kinondoni kwa Manyanya, Dar siyo mbaya mashabiki wangu na wadau wengine wa burudani wakaja kunisapoti kwakua nimedondosha vitu vya kijanja zaidi dukani,” alisema Chege.
Big up Chege!