Tanzania

 • Siku ya Msanii Tanzania yatangazwa

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mwaka huu litaandaa tamasha kubwa la wasanii ambalo litakuwa likifanyika kila mwaka likiwa na jina la siku ya...

 • Usiku wa Mtanzania

    Lady Jay Dee, Sikinde Ngoma  , vikundi vya ngoma za asili , Ngoma  ya Ukae na Waane Star  pamoja na mwanamuziki kutoka Kenya Kidumu...

 • Serikali yatangaza neema mpya ya mikopo kwa Watanzania

  WAZIRI wa Mipango, Uchumi na Uwezeshaji, Dk Juma Ngasongwa ametangaza neema mpya kwa kuwadhamini wajasiriamali ambao wanahitaji mikopo kutoka benki kupitia Mfuko wa Wwezeshaji wa...

 • Kibaki akubali yaishe

  TOFAUTI zilizopo kati ya Serikali na chama cha upinzani cha ODM sasa zinaweza kupungua na hatimaye kwisha.

 • Watanzania sasa kupata viza ya mwaka mmoja Marekani

  WATANZANIA ambao wanasafiri mara kwa mara nchini Marekani sasa watakuwa na nafuu baada ya kurahisishwa kwa taratibu za uombaji wa viza baina ya nchi hizo...

 • Rachel aomba kura zenu

  Ni yule mrembo wa kitanzania ambaye anaiwakilisha nchi katika shindano la kumsaka Miss Africa United States, shindano lililoshirikisha wanafunzi wa kiafrika wasomao huko marekani.

 • Celtel yaja na mchingo mpya

  Kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano nchini ya Celtel, hivi karibuni imezindua huduma mpya iitwayo ‘one Office’ itakayowawezesha wateja wa mtandao huo kufanya shughuli za kiofisi...

 • Magari yanayotumia gesi kuanza kuingia nchini Desemba

  Kampuni ya Hyundai East Afrika Ltd, imeahidi kuanza kuingiza nchini magari yanayotumia gesi asilia mwishoni mwa mwaka huu.

 • UK may close office probing Tanzania`s radar deal

  There are reports that the UK government is working on proposals to close down its Serious Fraud Office, which is investigating the controversial sale of a...

 • Wanakijiji wafukua, wala mizoga ya RVF

  WAKATI ugonjwa wa Homa ya Bonde la Ufa (RVF), ukitikisa mkoani hapa, baadhi ya wananchi wamekuwa wakifukua mizoga ya ng’ombe waliokufa kwa ugonjwa huo na...