Tanesco
-
LATEST ARTICLES
 
PRDN_Songo-Songo-013_fs

Mgao wa Umeme: Tanzania yaingia gizani kwa siku 10

by Bongo5 Editoron November 16, 2013 - 11:52 am
Kuanzia Jumamosi hii, mikoa mingi nchini imeingia kwenye mgao wa umeme wa siku 10. Mgao huo wa umeme unatokana na kuzimwa kwa mitambo ya kampuni ya Pan African iliyopo Songosongo. Mitambo hiyo inazimwa kwa sababu ya matengenezo...

Prof-Muhongo

Profesa Muhongo atoa sababu za kukatika mara kwa mara kwa umeme

by Bongo5 Editoron November 16, 2012 - 4:22 pm
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameeleza sababu zinazosabisha kukosekana kwa umeme katika jiji la Dar es salaam na maeneo mengine nchini. Akiongea na Radio One asubuhi ya leo Mheshimiwa Muhongo alisema lil...

Furaha tele mbele ya camera ya Bongo5, warembo sio?

Yaliyojiri kwenye basketball kitaa na Cypher Jumapili hii Dar

by Bongo5 Editoron October 22, 2012 - 10:33 am
Kwa wapenzi wa kikapu na vilinge vya hip hop maarufu kama cypher, jana kwenye uwanja wa basketball uliopo maeneo ya Tanesco mkabala na ubalozi wa Marekani, kiu yao ilikatwa. Wakati wachezaji wa kikapu akiwemo Miss Tanzania, 200...

Badra Masoud

Tanesco yasema hakuna mgao wa umeme, baadhi ya maeneo ya Dar yawa gizani

by Bongo5 Editoron October 4, 2012 - 1:23 pm
Wakazi wa baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam wataendelea kuwa gizani baada ya meneja mawasiliano Tanesco Badra Masoud kudai kuwa tatizo lililopelekea kukatwa kwa umeme huo ni kubwa lakini sio mgao. Akiongea na Power Breakfas...

featured image

Tanesco warekebisha nguzo iliyodondoka

by adminon October 2, 2011 - 9:06 am
Juzi mvua iliponyesha nguzo ya umeme iliyopo Mabibo Makutano, iliweza kuangauka na chini kulikuwa namaji yanapita pia na wakazi wengi wa maeneo hayo walikuwa wakiyatumia masaa yote hata kama walikuwa kwenye hatari sababu umeme ...

featured image

Wakazi wa Mabibo waomba msaada Tanesco

by adminon September 30, 2011 - 2:55 pm
Mvua ya leo imeweza kuzua kizazaa baadhi ya sehemu hasa maeneo ya Mabibo kwa kusababisha nguzo moja, kuilalia nguzo nyingine. Nguzo hiyo ni miongoni mwa nguzo ambazo Tanesco wamekuwa wakiziweka sasa na tayari baadhi ya watu wan...

featured image

Luku yawa tatizo

by adminon August 31, 2011 - 7:57 am
Baada ya watu wa jijini Dar es salaam kuingia kwenye mgao mkubwa wa umeme lakini kuanzia jumatatu hadi leo wamejikuta wakiingia  kwenye zahama lingine la kukosekana kwa vocha za Luku ya umeme baada ya mawasiliano ya mtandao wa ...

Dar Kupata Umeme Mdogo

by adminon March 31, 2008 - 10:14 am
Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam, watakuwa wanapata huduma ya umeme mdogo kwa nyakati za mchana kutokana na mnara mmoja unaoendesha umeme kuharibiwa

Umeme kupanda kwa asilimia 200

by adminon March 20, 2008 - 10:09 am
Shirika la Umeme nchini (TANESCO), linakusudia kupandisha bei za umeme kwa asilimia 200, endapo litaendelea kupata hasara na kulemewa na madeni.

Songas: Tuko tayari mkataba kupitiwa upya

by adminon March 18, 2008 - 3:46 am
Kampuni ya Songas yenye zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura wa gesi kutoka Songosongo imesema iko tayari mkataba wake na TANESCO kupitiwa upya.

Magari 22 ya Tanesco yakamatwa

by adminon March 13, 2008 - 9:43 am
JUMLA ya magari 22 mali ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) yanashikiriwa kwenye kwenye ghala la Kampuni ya udalali la Yono Auction Mart, baada ya shirika hilo kukaidi amri ya Mahakama Kuu iliyowataka kurejesha umeme mara moja...

Mikataba Tanesco watoto mapacha

by adminon March 12, 2008 - 8:15 am
RIPOTI ya timu maalumu ya wataalamu iliyochunguza mikataba mingi kati ya kampuni za kuzalisha umeme na Shirika la Umeme nchini (TANESCO), inaeleza kuwa inafanana mithili ya watoto mapacha.

TANESCO yaendelea kuilipa Richmond mamiloni

by adminon February 20, 2008 - 2:33 am
Licha ya Kamati ya Bunge kupendekeza kufutwa kwa mkataba wa Richmond na kutaka malipo ya Sh. milioni 152 yanayotolewa kwa Dowans kila siku yasitishwe hadi jana Shirika la Umeme(TANESCO) liliendelea kuilipa kampuni hiyo.

Tanesco kuomba leseni upya

by adminon January 16, 2008 - 12:08 am
SERIKALI imesema kuwa, Shirika la Umeme nchini (Tanesco), litalazimika kuomba upya leseni za kuendesha shughuli zake, iwapo sheria mpya ya umeme itapitishwa na Bunge na kusainiwa na rais.

Umeme bei juu

by adminon December 28, 2007 - 2:33 am
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) imeidhinisha kupanda kwa gharama za umeme kwa asilimia 21.7 kwa Tanzania Bara na Zanzibar kwa asilimia 168 kuanzia Jumanne wiki ijayo.

TANESCO kuiomba Serikali kupandisha gharama za umeme

by adminon June 23, 2007 - 12:49 am
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kuiomba Serikali kwa mara nyingine kupandisha gharama za malipo ya huduma za umeme kutokana na kubanwa na ukubwa wa gharama za uendeshaji huku ikikabiliwa na madeni makubwa.

Katakata umeme Tanesco yaja tena

by adminon April 25, 2007 - 1:36 am
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) ambalo kwa kipindi kirefu limekuwa katika hali mbaya ya fedha, limetangaza kuanza kata kata ya umeme kwa wadaiwa wake wote ambao wanadaiwa Sh bilioni 217.