Saida Karoli
-
LATEST ARTICLES
 
saida

Saida karoli asema umaarufu alioupata kwenye muziki haulingani na kipato chake

by Yasin Ngituon December 19, 2013 - 3:11 pm
Muimbaji wa muziki wa asili nchini Saida Karoli amefunguka kwa kusema ingawa alikuwa ni mmoja ya wasanii wakubwa hapa nchini hakuweza kunufaika kutokana na kampuni iliyokuwa ikimsimamia katika muziki wake kumlipa ujira mdogo. S...

Peeples-Movie-Poster

‘Chambua Kama Karanga’ ya Saida Karoli yatumika kwenye filamu mpya ya Tyler Perry ‘Peeples’

by Yasin Ngituon August 29, 2013 - 5:58 pm
Msanii wa muziki wa asili nchini Saida Karoli amesema amefurahishwa na kitendo cha mtayarishaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry aliyeutumia wimbo wake ‘Maria Salome aka ‘Chambua Kama Kara...

IMG_41701

Saida Karoli: Naomba uwaeleze Watanzania kwamba Saida ni mzima (exclusive audio)

by Bongo5 Editoron June 19, 2013 - 9:46 am
Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili nchini Saida Karoli, amezikanusha tetesi zilizoanza kuenea tangu jana kuwa amefariki kwenye ajali ya boti katika ziwa Victoria.