Kili Tanzania Music Awards
-
LATEST ARTICLES
 
KTMA Winners Tour - PR Post - DAR

Kili Music Tour: AY, FA, Profesa J, Vanessa, Ben Pol, Weusi kushusha burudani Jumamosi hii*

by Bongo5 Editoron September 5, 2014 - 4:00 pm
Baada ya kuzunguka kaskazini, kusini, kanda ya ziwa, kanda ya kati na nyanda za juu kusini Jumamosi hii burudani ya Kili Music Tour inamalizikia Leaders Club jijini Dar es Salaam. Wasanii watakaotumbuiza ni pamoja na Christian ...

17

Picha: Kili Music Tour 2014 yaacha historia Kigoma

by Bongo5 Editoron August 25, 2014 - 6:14 pm
Diamond na Wasafi wakitumbuiza Umati wa mashabiki ukiisubiria burudani katika uwanja wa Lake Tanganyika Backstage: Christian Bella, Nikki wa Pili na Amini Backstage: MwanaFA Backstage: Profesa Jay Mfalme wa Taarab nchini Mzee Y...

10268686_515776525215304_6307724122650522567_n

Orodha ya wasanii wa Kili Music Tour 2014 yatajwa, tweet ya Jaydee yamponza, aachwa mwaka huu

by Bongo5 Editoron May 13, 2014 - 3:55 pm
Orodha ya wasanii watakaoshiriki kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo. Baadhi ya wasanii watakaokuwepo kwenye ziara hiyo wakiwe kwenye picha ya pamoja Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mi...

kavishe

Tuzo za KTMA 2014 kurushwa live kwenye vituo vitatu vya runinga

by Bongo5 Editoron May 2, 2014 - 9:46 am
Tuzo za muziki za Tanzania, KTMA 2014 zitarushwa live kwenye vituo vitatu vya runinga nchini. Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe amevitaja vituo hivyo kuwa ni pamoja na Clouds TV, EATV na Star TV. Ugawaji wa tuzo za h...

Kilimanjaro Brand Manager, George Kavishe

KTMA waelezea sababu za kukitoa kipengele cha mtayarishaji chipukizi, watayarishaji nao waongea

by Bongo5 Editoron February 21, 2014 - 8:09 am
Waandaaji wa tuzo za KTMA, wameelezea sababu za kukiondoa kipengele cha Mtayarishaji wa muziki anayechipukia kwa madai kuwa wengi watakaoingia kwenye kipengele hicho mwaka huu ni wale wale waliotajwa mwaka jana. Kilimanjaro Bra...

page

Matukio 10 ya kukumbukwa/yaliyoshangiliwa zaidi kwenye KTMA 2013

by Fred Bundalaon June 10, 2013 - 6:17 pm
Ingia ndani kusoma Matukio 10 ya kukumbukwa/yaliyoshangiliwa zaidi kwenye tuzo za Kilimanjaro mwaka 2013.

IMG_3144

Exclusive: Interview na host wa KTMA 2013 Tahjir Siu aka TJ wa Magic FM/Channel10

by Bongo5 Editoron June 10, 2013 - 1:34 pm
Tahjir Siu aka TJ ni mtangazaji wa kipindi cha Daladala Beatz cha Magic FM na pia hutangaza kwenye kituo cha runinga cha Channel 10. Ni mtangazaji mwenye uwezo mkubwa na uelewa wa kutosha kwenye masuala ya burudani.


IMG_4264

Photos: KTMA 2013 Performances

by Bongo5 Editoron June 9, 2013 - 11:04 am


IMG_4280 - Copy

Kala Jeremiah, Ommy Dimpoz, Diamond na Chalz Baba waibuka na tuzo nyingi zaidi kwenye KTMA 2013

by Bongo5 Editoron June 9, 2013 - 9:30 am
Rapper wa Mwanza, Kala Jeremiah amefanikiwa kuibuka na tuzo tatu ikiwemo kubwa ya wimbo bora wa mwaka kwa hit yake ‘Dear God’. Kala alishinda pia tuzo ya msanii bora wa Hip Hop kwa kuwabwaga Fid Q, Joh Makini, Profesa Jay na St...

ktma_poster

Watch the KTMA 2013 Red Carpet Live from Mlimani City

by adminon June 8, 2013 - 2:00 pm
Fuatilia Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 live moja kwa moja hapa kuaniza tukio la Red Carpet litakaloanza saa moja jioni wakati wanamuziki na wageni waalikwa wakiwasili ukumbini likifatiwa na tukio la utoaji tuzo litakal...

IMG_0718

Exclusive pics: Maandalizi ya jukwaa la Kili Music Awards – Mlimani City, Dar

by Bongo5 Editoron June 7, 2013 - 10:20 am
Kesho ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua hatma yao. Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8 kwenye ukumbi wa Mlimani City ji...

Blog-PR-KTMA-Post

Kilimanjaro Music Awards 2013 kuonyeshwa live mtandaoni

by Bongo5 Editoron June 6, 2013 - 10:05 am
Usiku wa tuzo za Muziki Tanzania maarufu kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 unatarajiwa kuonyeshwa live mtandaoni siku ya Jumamosi, Juni 8.

153e4622be2e11e2adac22000a1fbe03_7

Jokate Mwegelo ndio official host wa red carpet ya KTMA

by Bongo5 Editoron June 4, 2013 - 2:19 pm
Mtangazaji wa Channel O, Tanzania, Jokate Mwegelo atakuwa host wa red carpet kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro Tanzania, KTMA Jumamosi hii, June 8. Tuzo hizo zitafanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

IMG_1306

Waandaji wa Kili Music Awards wakutana na vyombo vya habari

by Rama Nnauyeon May 28, 2013 - 4:31 pm
Tuzo za Muziki Tanzania maarufu kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards, leo imekutana na wana habari kuendeleza utoaji taarifa zinazohusisha mchakato wa kuwapata washindi katika kila category na kusisitiza kuwa wapenzi wa wanam...

chomva12_ay_win3

Mwana FA awashushua Kili Music Awards, waligoma kuunominate wimbo wa AY ulioshinda CHOMVA 2012

by Bongo5 Editoron November 20, 2012 - 11:55 am
Wanasema nabii hakubaliki kwao.Usemi huu umedhihirika weekend hii baada ya wimbo wa AY aliowashirikisha Sauti Sol, I don’t wanna be Alone kutwaa tuzo ya video bora ya wimbo wa Afrika Mashariki katika tuzo za CHOMVA 2012. Na leo...