Wema Sepetu
-
LATEST ARTICLES
 
wema na chibu 2

Wema hajampeleka Diamond mahakamani – Martin Kadinda

by Yasin Ngituon January 22, 2015 - 11:41 am
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli shilingi milioni 1...

She is In Town... #thatHugLaUshindi #thatoneHugeSmile #EndlessLove #endlessfame #AmThankful

Picha: Wema Sepetu arejea nchini akitokea Ghana

by Yasin Ngituon December 23, 2014 - 10:16 am
Wema Sepetu aliyekuwa nchini Ghana akishoot filamu mpya na msanii wa nchini humo Van Vicker amereja nchini. Filamu hiyo inaitwa Day After Death ambapo Wema na Van Vicker wameigiza kama mtu na mume wake. Martin, Wema na Petitman...

o

Watu 2 wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema, ni mafundi wake waliodaiwa kuiba

by Yasin Ngituon December 7, 2014 - 11:13 am
Nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi. Wema akiwa ndani k...

10809963_894344663923723_1959455769_n

Wema ampongeza Diamond, amuita ‘kaka’, Zari achukua nafasi yake rasmi, amsindikiza kwenye #CHOAMVA14

by Bongo5 Editoron November 30, 2014 - 12:06 am
It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O. Miongoni mwa watu waliompongeza kwa ushindi huo ni Wema Sepetu amb...

10808749_334389343415649_911133622_n

It’s All Love: Wema Sepetu na Penny wafanya shopping pamoja (Picha)

by Fred Bundalaon November 19, 2014 - 5:14 pm
Walikuwa marafiki wa damu, wakaja kuwa maadui.. na sasa ni marafiki tena. Baada ya kupatanishwa kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Junaithar siku kadhaa zilizopita, Wema Sepetu na Penny Mungilwa wameendelea kuuimarisha zaidi urafiki...

10735182_171541423016252_1219878018_n

Wema Sepetu: Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai, ndo Mungu alivyonipangia!

by Yasin Ngituon November 10, 2014 - 2:38 pm
Mwanadada wa filamu nchini Wema Sepetu amesema amewachoshwa na watu wanaomuuliza kila mara maswali ya lini atapata mtoto. Kupitia Instagram Wema a.k.a mrs. Chibu alipost picha ya mbwa wake na kuandika ujumbe huu: “Okay...

wema

Wema Sepetu azitaja filamu zake tatu zijazo

by Bongo5 Editoron November 4, 2014 - 11:29 am
Wema Sepetu yupo mbioni kuachia kazi zake mpya. Kupitia kipindi cha Kili Chat cha hivi karibuni, Wema alielezea kazi zake mpya za filamu anazotarajia kuzitoa hivi karibuni. “Kwanza ntaanza kuitoa Supastaa, halafu kuna nyingine ...

huuu

She kissed a girl and she liked it: Wema na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki? (Picha)

by Bongo5 Editoron October 31, 2014 - 11:17 am
Ni kawaida kwa wasichana wanapokutana na marafiki zao kubusiana shavuni na kukumbatiana kwa furaha. Wema Sepetu akimla denda akimbusu Aunt Ezekiel kwenye siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni Lakini pale wanapoamua kugusishana li...

wema

Wema Sepetu anajuta kuwa maarufu

by Yasin Ngituon October 29, 2014 - 4:26 pm
Wema Sepetu anajuta kuwa mtu maarufu. “Kuna wakati najutia kuwa maarufu kwa asilimia kama 40 hivi lakini nashukuru kwani kwa asilimia 60 nayafurahia maisha yangu,” aliliiambia gazeti la Mwanaspoti. “Ukiwa nyot...

10508029_840308722676521_383474538_n

King Majuto ajipanga kufanya filamu ya pamoja na Wema na Diamond

by Yasin Ngituon October 11, 2014 - 11:17 am
Msanii mkongwe wa filamu za vichekesho nchini, King Majuto amesema hivi kariburi alimshawishi Wema Sepetu azungumze na mpenzi wake Diamond Platnumz ili wafanye kazi ya pamoja. Diamond na Mzee Mjuto Mzee Majuto ambaye ni mshindi...

1390347_1548196515396906_646301517_n

Exclusive: Martin Kadinda azungumzia zawadi ya BMW aliyompa Wema kwenye birthday

by Yasin Ngituon October 1, 2014 - 12:02 pm
Manager na mbunifu wa mavazi Martin Kadinda amefunguka na kuzungumzia zawadi ya gari aina ya BMW aliyomkabidhi Wema Sepetu kama zawadi ya siku ya kuzaliwa, katika sherehe ilizokafanyika siku ya Jumapili September 28 nyumbani kw...

wpid-wema-akiwa-pembeni-kumsupport-diamond1.jpg

‘I should have known’ – Wema Sepetu apost ujumbe uliowafumba wengi Instagram

by Bongo5 Editoron September 26, 2014 - 4:36 pm
Kuna tetesi kuwa Wema Sepetu na Diamond Platnumz hawapo tena pamoja. Magazeti ya udaku yameandika kuwa Diamond anataka kuoa.. lakini mwanamke anayetaka kumuoa si Wema, ni Meninah! Hatujaweza kuthibitisha ukweli wa tetesi hizo l...

wemaa na kadinda

Kadinda adai Wema atafanya kitu kikubwa mwishoni mwa mwaka

by Yasin Ngituon August 29, 2014 - 1:49 pm
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema kuwa anatambua kuwa muigizaji huyo hajafanya kitu kikubwa mwaka huu kutoka kwenye kampuni yake ya Endless Fame Films, lakini amewataka watanzania kukaa mkao wa kula mwishoni mwa mwa...

wema

#BringBackOurWema: Ujumbe wa Diamond umeonesha ni Wema ndiye anayehitaji kubadilika!

by Fred Bundalaon August 15, 2014 - 10:10 am
Tuseme na ule ukweli… Kila mmoja katika maisha ya uhusiano amewahi kuongea maneno kwa hasira kwa mpenzi wake na baadaye kuja kugundua kuwa yalikuwa makali kiasi cha kumuumiza mwenzi wake. Hii inatokea sana, na after all s...

10554267_682585925149392_1862711177_n

Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

by Bongo5 Editoron July 31, 2014 - 8:04 pm
Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hii ni orodha kamili (July 31,2014) 1.Diamond Platnumz 183,205 2.Wema Sepetu 168,954 3.El...

4K0A0192

Video: Wema Sepetu aizungumzia filamu yake mpya ‘Family’, aigiza kama mgonjwa wa saratani

by Bongo5 Editoron June 21, 2014 - 2:08 pm
Unakumbuka kipindi Wema Sepetu amenyoa kipara na kupiga picha na mchumba wake Diamond Platnumz zilizopata comments na likes nyingi Instagram? Alinyoa kipara kuigiza kama mgonjwa wa saratani kwenye filamu yake mpya iitwayo Famil...

ay kilimo

Exclusive Video: Wema Sepetu aelezea ukweli kuhusu hatma ya urafiki wake na Kajala

by Bongo5 Editoron June 16, 2014 - 10:12 am
Ni kweli Wema Sepetu na Kajala Masanja wamepatana tena? Hilo ni swali ambalo tulimuuliza Wema tulipokuwa Durban, Afrika Kusini. “The whole issue ya K na mimi ilikuwa kind complicated,” alisema Wema. “Nilikuwa ...

Kajala na Masanja

Picha: Msiba wa Tyson wamaliza ugomvi wa Wema na Kajala?

by Yasin Ngituon June 5, 2014 - 9:52 am
Huenda ule ugomvi kati ya Wema Sepetu na Kajala ukawa umeisha kutokana na matukio mbalimbali ya picha hasa za msiba wa George Tyson. Kajala na Aunt Ezekiel Mtandao wa Global Publishers umedai kuwa ugomvi Wema Sepetu na Kajala M...