Joti

  • Kwani ni Lazima uvae ki’kike’ ili Uchekeshe?

    Siku hizi ukitaka kuwa mchekeshaji (mwanaume) hata kama huna kipaji hicho kuna njia moja maarufu sana unayoweza kuifanya. Nenda kanunue weaving, jipake lipstick na wanja,...

  • Nani mrefu zaidi?

    Nani mrefu kati ya galacha wa hip hop nchini Anselm Ngaiza aka ‘Soggy Doggy Anter’ na staa wa Orijino Komedi Lucas Mhuvile aka ‘Joti’?

  • Joti ni Noma

    Kipaji cha msanii Joti anayeigiza katika kipindi cha Ze Comedy kinachorushwa na kituo cha luninga cha EA TV kimeonekana kuwa ni tishio hali inayopelekea kuwa...