Jokate Mwegelo
-
LATEST ARTICLES
 
page

Clash of the beauties: Jokate vs Lulu, nani zaidi? (Picha Mpya)

by Bongo5 Editoron January 19, 2015 - 5:32 pm
Jokate Mwegelo na Elizabeth ‘Lulu’ Michael wameshare zao za walizopiga kwaajili ya miradi yao mipya. Kupitia Instagram, warembo hao wamewaonesha mashabiki wao muonekano wao wa 2015 na jinsi walivyo warembo. Lakini y...

Jokate na Mr Deng wakisaini mkataba

Picha: Kidoti ya Jokate Mwegelo yaingia ubia na kampuni ya China

by Bongo5 Editoron December 19, 2014 - 2:49 pm
Brand ya urembo, Kidoti iliyoanzishwa na mtangazaji wa TV nchini, Jokate Mwegelo, imeingia mkataba na kampuni ya Rainbow Shell Craft ya nchini China. Jokate na Mr Deng wakisaini mkataba Jokate ameiambia Bongo5 kuwa mkataba huo ...

10787964_366522540174910_1832990249_n

Jokate na Gaetano kuja na show yao Maisha Magic, December hii

by Bongo5 Editoron November 19, 2014 - 10:06 am
Baada ya Salama Jabir kupata shavu la kuwa na show kwenye kituo cha runinga cha Maisha Magic, sasa ni zamu ya Jokate Mwegelo. Mtangazaji huyo anatarajiwa kuongeza show yake ya tatu katika TV (baada ya The One Show ya TV1 na Top...

10471839_692689714112003_356111825_n

Audio: Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema na mapenzi

by Bongo5 Editoron July 25, 2014 - 7:28 pm
Jokate Mwegelo yupo jijini Nairobi, Kenya ambapo hata hivyo hajaweka wazi ameenda kufanya nini lakini aliweza kukutana na Mzazi Willy M Tuva kwenye show ya redio inayosikilizwa zaidi nchini humo, ‘Mambo Mseto’ ya kituo cha Radi...

page

Jokate aelezea bidhaa yake mpya ya ndala na alikopata wazo la biashara hiyo

by Yasin Ngituon April 11, 2014 - 7:10 am
Mwanamitindo na mtangazaji wa TV nchini, Jokate Mwegelo amefunguka kwa kusema kuwa ameamua kufungua biashara ya ndala za brand yake ya ‘Kidoti’ kutokana na mapenzi yake ya uvaaji wa ndala kataki maisha yake ya kawaida . Picha y...

Jokate_by_jarry85

Jokate Mwegelo adai bado yupo single

by Bongo5 Editoron April 2, 2014 - 12:07 pm
Jokate Mwegelo yupo single and ready to mingle.. atleast for now. Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi kipya cha TV1, ‘The One Show’ anachokiendesha kwa kushirikiana na Ezden Juman...

MMG28728

Jokate achukua nafasi ya Vanessa Mdee kwenye ‘The One Show’ ya TV1, atashirikiana na Ezden Jumanne

by Bongo5 Editoron March 12, 2014 - 2:32 pm
Jokate Mwegelo amechukua nafasi ya Vanessa Mdee kama mtangazaji wa show mpya ya kituo cha TV1 kilichozinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Awali Vanessa ndiye aliyekuwa amechukuliwa kuendesha kipindi hicho na tayari alikuwa amean...

hhh

Jokate Mwegelo amzungumzia Lupita Nyong’o na aliyojifunza toka kwake, ‘she is daring and not afraid of color’

by Bongo5 Editoron March 3, 2014 - 9:30 am
Lupita Nyong’o amekuwa Mkenya wa kwanza kuwahi kushinda tuzo ya Oscar baada ya leo kunyakua tuzo ya muigizaji bora msaidizi wa kike. Ushindi huo umepokelewa kwa shangwe na sio Wakenya peke yake, bali Afrika nzima. Jokate ...

page

Exclusive: Jokate aeleza jinsi alivyomsurprise Wema kwenye show yake Arusha (Audio)

by Bongo5 Editoron February 4, 2014 - 4:20 pm
Jokate Mwegelo aka Kidoti ameelezea jinsi ilivyokuwa mwishoni mwa wiki iliyopita, baada ya kumsurprise Wema Sepetu kwenye show ya msanii wake, Mirror iliyofanyika jijini Arusha. “It was a surprise,” Jokate ameiambia...

17804_517241478309874_1442770633_n

Jokate azungumzia miradi yake ya muziki na filamu ‘I got a good deal, nitaitangaza soon’ (video)

by Bongo5 Editoron January 9, 2014 - 1:09 pm
Jokate Mwegelo anatarajia kutisha kwa mara nyingine kwenye filamu pale filamu mpya aliyoigiza na JB, Richie na Irene Uwoya iitwayo ‘Mikono Salama’ itakapotoka mwaka huu. Lakini huo ni mwanzo tu wa miradi yake mipya ya filamu kw...

kidoti

Jokate aongelea mipango ya kuzindua tena nywele zake, kutoa movie zake 2 mwakani na kuhusu video ya Kaka Dada

by Bongo5 Editoron December 5, 2013 - 1:05 pm
Jokate Mwegeko aka Kidoti amesema anatarajia kuzindua tena nywele zake za brand ya Kidoti. Akiongea na Salma Msangi jana jioni kwenye kipindi cha Afrika Kabisa cha Magic FM, Jokate alisema baada ya kupata ‘mrejesho’ (feedback) ...

1450291_480438192071254_856551517_n

Jokate kuigiza kwenye msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi

by Bongo5 Editoron November 26, 2013 - 12:03 pm
Jokate Mwegelo aka Kidoti ni miongoni mwa waigizaji wapya watakaoonekana kwenye msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi. Jokate na Richa wakiwa na waigizaji wengine wa Siri ya Mtungi Jokate anaungana na Miss Tanzania 2007,...

IMG_6269 (600x400)

Jokate ni mhusika mkuu kwenye filamu ya JB ‘Mikono Salama’, wapo pia Irene Uwoya na Richie

by Bongo5 Editoron November 8, 2013 - 12:26 pm
Baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kuigiza filamu, mrembo na mtangazaji, Jokate Mwegelo ameigiza kwenye filamu iitwayo ‘Mikono Salama’ akiwa pamoja na Irene Uwoya na Single Mtambalike maarufu kama Richie. John Kalag...

page

Jokate: Hasheem was my first real love, Nilikuwa naogopa sana kumpoteza

by Yasin Ngituon October 19, 2013 - 10:10 am
Muigizaji wa filamu, VJ wa Channel O Tanzania, mbunifu wa mavazi na mjasiriamali, Jokate Mwegelo aka Kidoti amekiri kuwa mchezaji mrefu zaidi kwenye ligi ya mpira wa kikapu ya Marekani, NBA, Hasheem Thabeet ndiye mwanaume aliye...

lucci n jokate

Jokate atoa ukweli juu ya tetesi za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na producer Lucci

by Sandu Georgeon September 11, 2013 - 10:15 am
Mrembo na mwanamitindo Jokate Mwegelo anayejulikana pia kama Kidoti ameamua kuvunja ukimya kwa kutoa maelezo juu ya tetesi zilizoenea mitaani kuwa kuna uwezekano mrembo huyo kuwa (au wamewahi kuwa ) na uhusiano wa kimapenzi na ...

1174990_406775576090534_77772789_n

Song: Jokate and Lucci – Kaka Dada (Official Audio)

by Bongo5 Editoron September 9, 2013 - 5:30 pm
Sikiliza ama download wimbo mpya wa Jokate na Lucci, Kaka Dada.

1174990_406775576090534_77772789_n

Video: Lucci aeleza jinsi wimbo na video yake na Jokate ‘Kaka Dada ilivyopokelewa

by Bongo5 Editoron September 3, 2013 - 1:44 pm
Wiki mbili zilizopita, producer Lucci Da Don na Jokate Mwegelo waliachia video ya wimbo wao Kaka Dada uliopokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki wa muziki nchini.

Day4

Exclusive Audio: Uchambuzi wa video na wimbo mpya wa Jokate na Lucci ‘Kaka Dada’

by Bongo5 Editoron August 24, 2013 - 1:24 pm
Kaka Dada ni wimbo unaohusu watoto wawili,wakiume na wakike waliokua pamoja,wakawa kama kaka na dada. Walivyoendelea kukua ukaribu wao ukazidi. Kwenye ngoma hii,Jokate ana boyfriend ambae hamuelewi na Lucci nae ana mademu kibao...