JCB
-
LATEST ARTICLES
 
Proff

Audio: JCB azungumzia jinsi wazo la wimbo wake Drive Slow lilivyokuja na kumshirikisha Profesa Jay

by Bongo5 Editoron October 15, 2013 - 4:23 pm
Rapper wa Arusha JCB amesema wimbo wake aliomshirikisha Profesa Jay, Drive Slow alikuwa ameuandika tangu miaka miwili iliyopita. Akiongea na kipindi Daladala Beat cha Magic FM leo, JCB amesema ni Profesa Jay ndiye aliyemfanya a...

page

Picha za watoto wa wasanii 10 wa Tanzania waliozaliwa hivi karibuni na jinsi walivyo sasa

by Fred Bundalaon June 20, 2013 - 5:39 pm
Huenda miongoni mwa wasanii hawa 10 ulikuwa hufahamu kama wana watoto na wanaitwa baba/mama. Watoto hawa waliozaliwa hivi karibuni wameendelea kukua na hizi ni picha zao za hivi karibuni.

Jcb_Benpol

Song: JCB FT. BEN POL, CHABBA – I DON’T CARE

by Rama Nnauyeon April 15, 2013 - 4:37 pm
Sikiliza hapa

page

The 20 Hottest African singers/rappers’ wives & girlfriends of 2013

by Bongo5 Editoron April 9, 2013 - 3:28 pm
Being the women behind the rapper/singer can be a hard task to endure because random women are always approaching them on a daily basis. So which music stars in Africa have the hottest significant other or wife? We got this.

JCBMOPLus

Song: JCB & Mo Plus ft Domokaya – Niende Wapi

by Bongo5 Editoron February 26, 2013 - 10:20 am
Listen to it here…

DSC_9517-600x402

Video: JCB atimkia Ufaransa, lakini aacha ujumbe

by Bongo5 Editoron November 30, 2012 - 12:48 pm
Mwanamuziki wa Hip Hop kutokea jiji la Arusha, JCB, ambae aliwahi kuchukua tuzo ya wimbo bora wa Hip Hop kupitia wimbo wa Ukisikia Paah katika tuzo za Kilimanjaro Music Awards 2011, amekwenda nchini Ufaransa kufanya kazi za kis...

Diga Diga ni mfano wa kuigwa.

Tamasha La Swahili Hip Hop Summit Laanza kwa Kishindo

by Bongo5 Editoron November 23, 2012 - 11:26 am
Tamasha maalum kwa ajili ya wana Hip Hop na Rap kwa kutumia ghani na lafudhi ya Kiswahili also known as “Swahili Hip Hop Summit” jana ilizinduliwa rasmi katika kituo cha utamaduni cha watu wa Ufaransa, Alliance Francaise ...

All Arusha Cypher 2 Video (RIP Lexa Julius)

by Bongo5 Editoron November 6, 2012 - 9:24 am
Hii ni cypher ya pili katika series ya cypher tatu ambayo ina wasanii wakubwa na underground wa Arusha ambapo walioshiriki ni pamoja na Daz Naledge, Chabba, JCB, na BoyWonda wa FBG. Cypher hii imerokodiwa Fnouk Studios na Sam T...

Dream Team imepatikana

Sprite Basketball Tournament ilivyopagawisha Arusha!

by Bongo5 Editoron October 18, 2012 - 3:51 pm
Haya ndiyo yaliyojiri uwanja wa basketball Soweto mjini Arusha wikiendi iliyopita, wakati wa fainali na concert ya Sprite Slam 2012 mji huo. Habari Picha kutoka kwa mdau wetu wa Arusha.

vatoloco_arushas_finest_poster

Arusha’s Finest! A concert not to be missed

by adminon March 15, 2012 - 4:54 pm
This Friday the 16th, Vatoloco the Red presents the 2nd Hiphop & Ragga Nite, Live Music for A-Town From A-town, this tym let’s all meet @ Masai Camp, Kijenge from 9pm till Dawn and enjoy Chuga Music from Vatoloco The...

arusha_bila_visu_cover

New Music: Watengwa – Arusha Bila Visu Inawezekana

by adminon March 3, 2012 - 2:57 pm
http://bongo5.com/wp-content/uploads/songs/Watengwa_Arusha_bila_visu.mp3

featured image

Jcb na Diana wampata Makala Jr

by adminon December 27, 2011 - 8:48 am
Mwanamuziki kutoka pande za Arusha Jacob Makala ‘Jcb’ mzee wa ukisikia Paa, jana amepata mtoto wake wa kwanza na mwanamke wa Kizungu Diana, ambaye mapenzi yao yamedumu kwa muda miaka mingi. mtoto huyo ambaye wamempa...

featured image

Waraka wa Jcb kwa Waislam kote duniani

by adminon December 14, 2011 - 10:21 am
Mimi jacob makalla aka Jcb msanii wa hip hop kutoka Arusha nachukuwa wakati huu kuwaomba radhi ndugu zangu waislam kote duniani, kwa mimi hapa kutumia maneno ya Quran, kwenye nyimbo yangu niliyo irekodi miaka kama mitatu iliyo ...

featured image

Jcb na New track ya Arusha

by adminon August 29, 2011 - 7:44 am
Mwanamuziki toka Arusha, JCB ame-Releese wimbo wake mpya akishirikiana na wasanii wenzake wa Arusha, G Nako na Joh Makini

featured image

Happy bornday na Hongera JCB!!

by adminon December 16, 2010 - 2:08 pm
Ikiwa leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, mtu mzima JCB anatarajia kumvisha pete mchumba wake Diana (anayeonekana kwenye picha) jioni hii mjini Arusha katika sehemu moja inayoitwa Pentagoni karibu na shule ya Kimandolu.

featured image

J.C.B: Kuachia Sokoni Nakala za Makala

by adminon June 28, 2010 - 9:19 am
  Msanii wa kizazi kipya Jacob Makalla a.k.a JCB baada ya kuwa kimya muda mrefu amerudi upya kwenye game la Hip Hop na kusema mashabiki wake wategemee makubwa na Mengi kutoka kwake. Msanii huyo amejigamba kwa kuachia albam...

featured image

JCB makala aja na nakala za makala

by adminon June 8, 2010 - 11:17 am
Msanii kutoka kundi la watengwa la mjini Arusha amesema muda sio mrefu anadondosha albam yake akiwa nje yakundi baada ya wenzake wawili  (Chindo man na Yyuzo) kuwa nje ya nchi kwa muda mwingi. Albam hiyo yenyewe ina jumla ya ny...