Hussein Machozi
-
LATEST ARTICLES
 
hussein-na-baraza

Audio: Hussein Machozi aachia single mpya aliyowashirikisha Sauti Sol wa Kenya ‘UTAPENDA’

by Sandu Georgeon November 26, 2013 - 11:28 am
Hussein Rashid aka Hussein Machozi aendelea kufungua njia za kujitangaza kimataifa baada ya kufanya collabo na wasanii wakubwa na wenye mafanikio barani Afrika na nje wa kundi la SAUTI SOL kutoka Kenya. Hussein Machozi na Baraz...


Hussein Machozi na Cpwaa wako “Ready to Go”

by Bongo5 Editoron December 15, 2012 - 1:37 pm
Katika mlolongo wa kazi za wasanii za funga mwaka ambapo kila msanii anafanya kila awezalo ili kutoa wimbo mpya, muunganiko Hussein Machozi pamoja na mkali wa Mission 12 O’clock, Cpwaa unaingia katika orodha hiyo.

husein

Video: Hussein Machozi-Addicted

by Rama Nnauyeon September 13, 2012 - 1:21 pm

wyre

Hussein Machozi kumshirikisha Wyre

by Bongo5 Editoron August 3, 2012 - 8:39 am
Msanii wa Bongo Flava aliyehamia nchini Kenya, Hussein Machozi anatarajia kufanya ngoma na msanii wa zamani wa kundi la Necessary Noise, Wyre aka The Love Child. Machozi amesema bado hajaupa jina wimbo huo na angependa mashabik...