Esther Wassira
-
LATEST ARTICLES
 
kenya

Kenya Elections: A message from Tanzania by Esther Wasira

by Bongo5 Editoron March 4, 2013 - 9:51 am
Beloved Kenya, You have embarked on this journey a while ago and you are about to reach the Promised Land, Democracy… Do not allow anything or let anybody make you lose Focus and forget that today you determine the fate o...

Esther Wasira

Esther Wassira: Kwanini Tanzania ni nchi ya amani na utulivu?

by Bongo5 Editoron December 10, 2012 - 9:27 am
Jana wakati Tanzania inatimiza miaka 51 tangu kupata uhuru wake, wanazuoni walikutana katika chuo kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano mahsusi kwaajili ya siku hiyo. Miongoni mwa wazungumzaji katika kongamano hilo alikuwa n...

William J Malecela akiwa na Msanii Diamond

Waraka wa Esther Wasira kwa William J. Malecela; ‘Acha Siasa Za Personality’

by Bongo5 Editoron November 28, 2012 - 2:51 pm
Dakika chache zilizopita, mwanaharakati maarufu nchini,Esther Wasira,kupitia ukurasa wake wa Facebook, amefunguka na kumuandikia Mtoto wa aliyekua waziri mkuu wa Tanzania na ambaye ni Mjumbe wa Baraza la Wazazi Taifa na mjumbe ...

Esther Wasira

Video: Esther Wasira- ‘Viongozi Waache Kutoa Cheap Answers’

by Bongo5 Editoron November 27, 2012 - 4:47 pm
Mwanajamii na mwanaharakati Esther Wasira ameongea na bongo5.com na kusema kwa sasa hatofanya tena muziki wa Bongo Flava kibiashara na badala yake atajikita kwenye Siasa ili aendelee na harakati za kuwatetea Watanzania ili wapa...

Esther Wasira akitoa hoja kwenye mdahalo

Esther Wasira: ‘Hakuna chama chenye haki miliki ya nchi ya Tanzania’ (mdahalo wa Nyerere Day)

by Bongo5 Editoron October 14, 2012 - 7:43 pm
Mwanaharakati kijana na mwanasheria nchini, Esther Wasira amesema hakuna chama chenye haki miliki ya nchi ya Tanzania na kwamba amani imejengwa na wazee akiwemo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Bi. Wasira ...

Wakazi

Rapper Wakazi Wasira awakingia kifua dada zake waliojiunga na CHADEMA

by Bongo5 Editoron October 1, 2012 - 10:56 am
Baada ya watoto wa kaka yake na Waziri wa nchi ofisi ya rais mahusiano na uratibu Mheshimiwa Stephen Wasira kuchukua kadi za uanachama wa CHADEMA, kaka yao ambaye ni rapper aishiye nchini Marekani Wakazi Wasira amewakingia kifu...

Esther Wassira

Shocking: Mabinti wa Wassira wachukua kadi za CHADEMA, yumo Esther Wassira!!

by Bongo5 Editoron September 30, 2012 - 8:59 am
Watoto wa kike wa waziri wa nchi ofisi ya Rais Mheshimiwa Stephen Wassira, wameamua kutokuwa wanafiki kwa kuamini chama tawala cha baba yao na kuchukua kadi za uanachama wa CHADEMA. Mabinti hao ni pamoja na muimbaji aliyewahi k...

Esther Wasira

Esther Wassira awashutumu madaktari kwa kifo cha uzembe cha mtoto wa rafiki yake

by Bongo5 Editoron June 29, 2012 - 9:25 am
Mwanamuziki wa zamani ambaye kwa sasa ni mwanasheria, Esther Wassira amewatupia shutuma nzito madaktari wa hospitali ya Amana ya jijini Dar es Salaam kwa kile alichokiita ‘uzembe’ wa makusudi uliosababisha kifo cha mtoto mchang...