Diva Loveness Love
-
LATEST ARTICLES
 
PREZZ

Baada ya ile drama ya promota wa kike kumponda Prezzo, na kusema Diva alimlipia gharama zote alipokuja Tanzania ili aonekane naye, Diva afunguka

by Sandu Georgeon June 27, 2013 - 12:02 pm
Well, jana (June26) tuliandika story juu ya mwanamke mmoja mKenya aliyejitambulisha kuwa ni promota anayeishi Ujerumani anayeitwa Ashley Toto, ambaye aliandika status katika ukurasa wake wa facebook akimponda Cash Money Brother...

Huddah-Monroe1

Diva wa Clouds FM ampa support ‘adui yake’ Huddah Monroe anaeiwakilisha Kenya kwenye Big Brother ‘The Chase’

by Sandu Georgeon May 27, 2013 - 1:26 pm
Jana (May 26) ndio ulifanyika ufunguzi rasmi wa shindano kubwa Africa la Big Brother ambalo mwaka huu limepewa jina la “The Chase”, na tayari washiriki wa nchi zote ikiwemo Tanzania wamekwisha fahamika.

BKy04VRCYAAuJNh

Diva amtumia ujumbe ‘mtamu’ mpenzi wake Prezzo aliyekuwa mahakamani leo

by Bongo5 Editoron May 23, 2013 - 3:34 pm
Licha ya kutoweka nini kilichompeleka mahakamani, leo Prezzo alitweet kueleza kuwa ana imani na mfumo wa mahakama ya Kenya na kwamba ukweli utabainika. “Thanks to everyone who wished me well. I have faith with the Kenyan ...

DSC07596

Watangazaji wa Clouds FM wanaongoza kwa kuwa na followers wengi kwenye mitandao ya kijamii

by Bongo5 Editoron May 23, 2013 - 1:13 pm
Ili kupata likes nyingi kwenye mitandao ya kijamii ni lazima uwe na kitu cha kuvutia. Sio kila mtu ana bahati ya kuwa na maelfu ya likes na followers kwenye Facebook na Twitter. Kwa mujibu wa takwimu za sasa, watangazaji wa Clo...

09257534b8b311e2b1f822000a1f9751_7

Prezzo na Diva watavuka milima na mabonde? Jina la Diva lasambaa kwa kasi, ‘booked for interview all over Africa now’

by Bongo5 Editoron May 13, 2013 - 12:08 pm
Prezzo anaweza kujiita mwanaume mwenye bahati kuliko wanaume wote duniani? Yeah, walau kwa sasa kwakuwa jina lake halitoki mdomoni mwa mtangazaji wa Clouds FM , Loveness aka Diva. Diva kapenda na haambiwi kitu. “Love is blind ,...

page

The Diva vs The Boss Lady: Loveness Diva na Huddan Monroe (Kenya) waanzisha vita kisa penzi la Prezzo

by Bongo5 Editoron May 12, 2013 - 1:11 pm
Hakuna siri tena kuwa mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva na mfalme wa bling bling Rapcellency Prezzo ni wapenzi na wote wameconfirm. Lakini hata hivyo Diva amejikuta akipata upinzani mzito kutoka kwa model na msichana ma...

PREZZ

Diva kuhusu Prezzo: It was love at first sight….

by Bongo5 Editoron May 11, 2013 - 2:08 pm
So kumbe haikumtokea Prezzo tu, ni hata kwa Diva pia, ‘love at first sight’. Juzi tuliandika habari kuhusu Prezzo kukiri kuchanganywa na penzi la Diva ambapo alisema (kwa utani) kuwa anajiandaa kupeleka mahari.. Diva alikanusha...

PREZZ

Prezzo kuhusu penzi la Diva: Bado mahari tu ipo njiani kutoka Mwanza

by Bongo5 Editoron May 9, 2013 - 6:31 pm
Apparently watangazaji wa kike wa Clouds FM humchanganya sana Rapcellency, Prezzo. Kama unakumbuka aliwahi kudai kuwa hasemi wala haongei kwa uzuri wa Dj Fetty.

page

Mastaa 20 wa burudani,michezo na urembo Tanzania wenye ushawishi mkubwa zaidi

by Bongo5 Editoron April 26, 2013 - 3:54 pm
Kufanikiwa na kuwa na ushawishi katika maisha ya kawaida ya binadamu si jambo rahisi. Mtu mwenye ushawishi ni nani? Ni mtu yeyote ambaye vitendo vyake, kauli zake ama ushauri wake hupokelewa kwa haraka na kufuatwa na watu. Kati...

DIVA

Diva aziamkia video za wasanii wa Bongo, ‘nyingi zinatia huzuni’

by Bongo5 Editoron April 2, 2013 - 12:33 pm
Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Diva ameziamkia video za muziki za Tanzania na kudai kuwa nyingi zina ubora duni unaotia huzuni.

page

Siku ya Wanawake Duniani: Diamond, Salma Kikwete, Nancy Sumari na wengine wafunguka

by Bongo5 Editoron March 8, 2013 - 1:39 pm
Leo ni miaka 99 tangu kuanzishwa kwa siku ya wanawake duniani iliyoadhimishwa kwa mara ya kwanza March 8, 1914 ambapo mwanzoni ilikuwa ikijulikana kama ‘Siku ya wanawake wafanyao kazi duniani’. Ni siku ya kuwapa heshima wanawak...

diva 2

Song: Diva ft. Mr Blue: Mgonjwa kwa Raha Zako

by Bongo5 Editoron February 1, 2013 - 3:41 pm
http://bongo5.com/wp-content/uploads/songs/diva_ft_mr_blue_mgonjwa_kwa_rahazako.mp3 Download Hapa

Zitto, Queen Darlin, Mwasiti na wengine

Zitto na Ruge wazungumzia kodi katika biashara ya muziki – Diva255

by Bongo5 Editoron January 14, 2013 - 12:19 pm
Mtangazaji wa Ala za Roho wa Clouds FM, Loveness Diva kupitia website yake amewauliza maswali mbunge Zitto Kabwe, rapper Hamis Mwinjuma aka Mwana FA na Ruge Mutahaba kuhusiana na malipo ya kodi katika tasnia ya muziki nchini.

diva 2

Diva: Uwazi waniombe radhi kwa habari yao iliyosababisha usumbufu mkubwa kwa familia

by Bongo5 Editoron December 11, 2012 - 6:21 pm
Leo gazeti la udaku la Uwazi katika ukurasa wake wa kwanza limeandika habari isemayo, ‘Zitto Kabwe akiwa Rais 2015: Nani First Lady? Katika habari hiyo, Uwazi imewataja mastaa kadhaa ambao linahisi wanaweza kuwa wake wa mbunge ...

Picha: Show ya Birthday ya THT – Dar Live

by Bongo5 Editoron December 10, 2012 - 2:56 pm
Jana katika viwanja vya Dar Live palikuwa hapotoshi baada ya wasanii wa Tanzania House of Talent na wengine walipofanya show ya kutimiza miaka saba ya kuanzishwa kwa THT katika viwanja vya Dar Live. Wasanii waliotumbuiza ni pam...

Diva akikabidhi vitu kwa Mama ambaye ndo Mlezi wa Al Madina Chidren

Diva atoa msaada kwenye kituo cha watoto yatima cha Al Madina Children Home

by Bongo5 Editoron December 10, 2012 - 1:04 pm
Mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva jana aliongozana na baadhi ya wasanii wa THT waliokuwa wakitimiza miaka saba katika kituo cha Al Madina Children Home kilichopo Magomeni Tandale Uzuri maeneo ya Yemeni jijini Dar es Sal...

Diva-na-Mh.Filipo-Njombe-wakikabidhi-Misaada-kwa-niaba-ya-walio-jitolea-kwa-Watoto-kwa-ajili-ya-sikuku

Tujitokeze kuchangia Diva for Charity

by Rama Nnauyeon December 5, 2012 - 1:48 pm
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho, Loveness Luv, a.k.a Diva ameandaa kampeni ya wiki moja ya uchangiaji wa msaada kwa ajili ya kituo cha watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu.

Diva one

Ni kweli Diva anataka kujiua?

by Bongo5 Editoron November 12, 2012 - 4:45 pm
Muda mfupi tu uliopita, mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva ameandika ujumbe mkali unaoashiria kuwa anataka kujiua.