Chege
-
LATEST ARTICLES
 
Madee

Picha: Chege,Temba na Madee washoot video South

by Yasin Ngituon December 5, 2014 - 1:16 pm
Wakata mkaa wenye roho mbaya, Chege na Temba na swahiba wao Madee wameshoot video ya wimbo wao waliourekodi hivi karibuni nchini Afrika Kusini. Video hiyo imeongozwa na Adam Juma. Chege na Madee Wasanii hao wamepost picha kadha...

TUNDA MAN

Song: Tunda Man ft Chege – Wanaona Haya

by Rama Nnauyeon April 15, 2013 - 12:43 pm
Ni ngoma mpya ya Tunda Man sikiliza hapa

page 2

Exclusive: Top 10 Digitally Downloaded Bongo Flava Songs – 2013

by Bongo5 Editoron March 3, 2013 - 5:18 pm
Kwa mujibu wa takwimu kutoka kwenye mtandao wa Hulkshare unaotumika kama sehemu ya kuhifadhia nyimbo kidigitali duniani, hizi ndizo nyimbo 10 za Tanzania zilizotoka mwaka huu na ambazo zimepakuliwa (downloaded) zaidi.

Picha

Bongo5: The 100 Greatest Bongo Flava Songs of All Time

by Bongo5 Editoron February 22, 2013 - 12:55 pm
Muziki wa Bongo Flava una historia ndefu hadi kufikia kipindi hiki ambacho umekuwa ajira kwa vijana wengi. Kwa kutambua umuhimu wa muziki huo, tumeandaa orodha ya nyimbo 100 bora za Bongo Flava za muda wote, ‘The 100 Grea...

chege page

Chege amuombea Recho collabo na Wahu

by Bongo5 Editoron February 18, 2013 - 2:21 pm
Chege Chigunda ameamua kumwombea collabo msanii wa ‘Nashukuru Umerudi’ Recho wa THT kwa Wahu Kagwi wa nchini Kenya.


BURN CD

Profesa J, MwanaFA, Chege, Roma na Ditto wajadili jinsi ya kuzuia uuzaji wa nyimbo zao mitaani

by Bongo5 Editoron January 29, 2013 - 2:36 pm
Kwa muda wa saa zaidi ya nne leo, wasanii kadhaa wa Bongo Flava na wadau wa muziki walikuwa wakijadili kwenye mtandao wa Twitter tatizo sugu la uuzwaji wa kazi zao mitaani (kuburn cd). Mjadala huo ulianzishwa na Profesa Jay ali...

Chege na Temba

Chege awakutanisha Ay, Chidi Benz, Mwana FA, Dogo Aslay, Afande Sele, Q Chillah na Mh.Temba katika filamu yake “My Life”

by Bongo5 Editoron December 4, 2012 - 5:23 pm
Msanii nyota wa muziki wa Bongo Flava mtoto wa Mama Saidi namzungumzia Chege Chigunda amesema, kwa sasa yupo mbioni kuandaa filamu yake “My Life” ambayo itakuwa tayari mpaka kufikia mwishoni mwa February mwakani. Fi...

chege

Chege awa mpole, akubali kulipa gharama za mahari za mke wa mtu aliyemzalisha

by Bongo5 Editoron October 13, 2012 - 10:16 am
Juzi tuliandika habari kuhusiana na skendo ya msanii wa hit ya ‘Mkono Mmoja’ Chege Chigunda aka Mtoto wa Mama Said kumzalisha mke wa mtu ambapo akiongea na U Heard ya Clouds FM mume wa msichana huyo aliyejitaja kwa jina la Jose...

chege

Chege adaiwa kuzaa na mke wa mtu, mume kumpelekea mwanae

by Bongo5 Editoron October 11, 2012 - 3:53 pm
Msanii wa hit ya ‘Mkono Mmoja’ Chege Chigunda aka Mtoto wa Mama Said ametupiwa shutuma kali kuwa amemzalisha mke wa mtu. Akiongea na U Heard ya Clouds FM leo, mume huyo aliyejitaja kwa jina la Jose mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma...

chege

New Video: Chege-Mwanayumba

by Rama Nnauyeon September 19, 2012 - 5:15 pm

Ommy dimpoza akikamua

Uzinduzi Wa Video Ya ‘Baadaye’ Ommy Dimpoz,Maisha Club

by Bongo5 Editoron September 10, 2012 - 1:01 pm
Msanii Ommy Dimpoz jana usiku alizindua rasmi video yake ya wimbo wa ‘Baadae’ katika ukumbi wa New Maisha Club iliyopo Oysterbay jijini Dar-es-Salaam. Video hiyo ilifanyiwa shooting South Africa kama ambavyo Bongo5 ...

Noela Maliki Baada ya kutagwa  mshindi wa Miss Ilala

Picha: Run Down ya Fainali za Miss Ilala 2012

by Rama Nnauyeon September 8, 2012 - 12:44 pm
Jana Usiku ilikua fainali ya Miss Ilala ambapo taji hilo lilikuwa likishikiliwa na Salha Israel, ambaye ndiye Miss Tanzania. Salha alimkabidhi taji mrembo mpya wa kuiwakilisha Ilala katika mashindano ya taifa mwaka huu. Taji hi...

cyril_chege

Music: Cyril ft Chege – Siku Hizi Hatulali

by adminon August 27, 2012 - 10:50 am
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/songs/cyrill_chegge_siku_hizi_hatulali.mp3


Gari la Chege baada ya ajali

Chege apata ajali mbaya ya gari

by Bongo5 Editoron July 17, 2012 - 12:03 pm
Msanii wa Kigoma All Stars Chege Chigunda usiku wa jana amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Temeke jijini Dar es Salaam. Taarifa za awali kuhusu ajali hiyo zimesema kuwa usiku huo Chege alikuwa ametokea jijini Nairobi. Akiong...

Zitto, Queen Darlin, Mwasiti na wengine

Kigoma All Stars wanastahili kupongezwa

by Bongo5 Editoron July 11, 2012 - 11:43 am
Huu ni mwaka ambao mkoa wa Kigoma utaongelewa sana kwenye burudani. Hongera nyingi ziende kwa yule aliyekuja na wazo hili lenye thamani ambalo limeunyanyua mkoa wa Kigoma katika kipindi kifupi mno. Tangu itoke Leka Dutigite, Ki...

kigoma_all_stars

New Song: Kigoma All Stars – Leka Dutigite

by adminon July 9, 2012 - 1:23 pm
Huu ni wimbo wameimba wasanii wa kigoma wote, Kigoma All Stars (MWASITI, BANANA ZORO, CHEGE, DIAMOND, ABDU KIBA, OMMY DIMPOZ, RECHO, LINEX, BABA LEVO, MAKOMANDO NA PITA MSECHU). Dhumuni na nia ya kutengeneza wimbo huu ni kuweka...