Aunt Ezekiel
-
LATEST ARTICLES
 
wema instagram

Aunt Ezekiel ajibu kauli ya Diamond kuhusu marafiki wa Wema ‘wapenda anasa’

by Yasin Ngituon August 22, 2014 - 10:37 am
Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa mpenzi wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu amezungumzia kauli ya Diamond aliyotoa hivi karibuni kuwa mpenzi wake ana marafiki wapenda starehe na anasa. Aunt am...

ez-2-333x333

Uigizaji wamzuia Aunt Ezekiel kukaa na mumewe Dubai

by Yasin Ngituon August 19, 2013 - 6:11 pm
Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel amesema kilichomfanya ashindwe kukaa Dubai na mume wake ni kazi ya uigizaji ambayo anaitegemea na hataki ipotee maishani mwake.

page

Aunt Ezekiel kuachia wimbo aliomshirikisha Linex, ‘Mguu kwa Mguu’

by Yasin Ngituon July 25, 2013 - 12:00 pm
Mwanadada wa filamu nchini, Aunt Ezekiel anatarajia kuachia wimbo wake wa kwanza unaitwao ‘Mguu kwa Mguu aliomshirikisha Linex Sunday. Wimbo huo umetayarishwa na Mr.T Touch wa Seductive Records.

AuntyEzekiel

Filamu ya Aunt Ezekiel ‘Scola’ yapigwa stop kuingia sokoni kutokana na kwenda kivyume na maadili

by Bongo5 Editoron June 28, 2013 - 7:50 am
Baada ya bodi ya filamu nchini miezi kadhaa iliyopita kuizua fimu ya Sister Mary ya Ray isiingie sokoni kutokana na kulichafua kanisa katoliki, Aunt Ezekiel naye yamemkuta.

January

Video: January Eleven ft Aunt Ezekiel – Movie Star

by Rama Nnauyeon June 17, 2013 - 11:20 am
Angalia hii Video hapa Mkali wa Bongo Movie Aunt Ezekiel alivyo onesha umahili wake katika kuimba

Aunt Ezekiel na mume wake Demonte

Picha: Aunt Ezekiel na mume wake kwenye harusi ya Dubai

by Bongo5 Editoron November 16, 2012 - 11:14 am
Apparently, Aunt Ezekiel aka Rahma amefunga ndoa rasmi huko Dubai. Hizi ni picha tulizozipata toka kwenye website ya Sintah zinazomuonesha akiwa na mume wake huyo aitwaye Demonte. Mume anaonekena bado kijana mdogo lakini, ama m...

aunt_sendoff1

Picha: Send-off ya Aunt Ezekiel

by adminon October 28, 2012 - 10:12 pm
Hizi ni baadhi ya picha za send-off ya Bongo Movie Star, Aunt Ezekiel. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Photos courtesy of Missie Popular

aunt_signing

Sababu za Aunt Ezekiel kuanza na harusi kabla ya kitchen party na send-off!!

by Bongo5 Editoron October 22, 2012 - 12:18 pm
Wiki iliyopita picha za muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akifunga ndoa zilisambaa kwa kasi kwenye mtandao na kuzua maswali mengi kama iwapo amefunga ndoa kweli ama ni usanii tu. Wengi waliamini kuwa amefunga ndoa na wen...

aunt_ezekiel_married

Ukweli kuhusu picha za Aunt Ezekiel zinazomuonesha kwenye vazi la Bibi Harusi

by Bongo5 Editoron October 19, 2012 - 12:19 pm
Kuanzia jana zimesambaa picha za muigizaji mahiri wa filamu nchini Tanzania, Aunt Ezekiel zinazomuonesha akiwa amevaa nguo za Bibi Harusi katika ndoa ya kiislam na huku akiweka saini kwenye kitabu. Picha hizo zimesababisha blog...

aunt_ezekiel_married

Did actress Aunt Ezekiel finally get married?

by adminon October 18, 2012 - 11:55 pm
These photos of Bongo Movie actress Aunt Ezekiel in a wedding gown have just surfaced online, in one she is seen signing something similar to a marriage certificate at a muslim marriage ceremony. We cannot confirm this informat...

Wema na Aunty

Makala: Wasanii lindeni faragha zenu

by Bongo5 Editoron October 18, 2012 - 9:07 am
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa wasanii wa kike na hata wa kiume kupata shutuma za aina mbali mbali ambazo nyingi kati ya hizo ziko kwenye mrengo wa maisha ya mtu ya ndani ambayo mara nyingi yanatakiwa kubaki kwa mtu mwenyewe...

Wema

Wema Sepetu na Aunt Ezekiel waomba radhi kwa picha zao mbaya za Fiesta

by Bongo5 Editoron October 15, 2012 - 4:17 pm
Waigizaji wa filamu nchini Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamewaomba radhi watanzania kwa picha zao mbaya walizopigwa kwenye show za Fiesta. Wasanii hao wamezungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa habari maelezo jijini Da...

Picha: Bongo5 Media Group Yafuturisha Wadau

by Bongo5 Editoron August 17, 2012 - 10:44 am
Jana jioni ilikuwa zamu ya Bongo5 Media Group kupitia www.bongo5.com kufuturisha wadau wake wa burudani ambapo baadhi ya wasanii, wacheza filamu na wadau wa karibu walijumuika pamoja katika viunga vya City Garden Restaurant kat...

Aunty-Ezekily

Zuku Swahili Movie yawapa ubalozi JB na Aunt Ezekiel

by Bongo5 Editoron July 28, 2012 - 2:58 pm
Mambo yanazidi kuwanyookea wasanii wa filamu nchini almaarufu Bongo Movies ambapo waigizaji Jacob Stephen aka JB na Aunt Ezekiel wameteuliwa kuwa mabalozi wa Zuku Swahili Channel. Channel hiyo itakuwa ikirusha filamu zinazotumi...

cOVER

Aunt Ezekiel na Simon Mwapangata kuja na Best Losers

by Bongo5 Editoron July 5, 2012 - 10:29 am
Baada ya movie yake ya Crazy Tenant iliyoigizwa na Wema Sepetu na Peter Msechu kuwa filamu iliyouza zaidi mwezi May hadi June mwaka huu nchini, super director Selles Mapunda anakuja tena na Best Losers.

Set ya The Mbonie Show

The Mboni Show yazinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam

by Bongo5 Editoron May 25, 2012 - 12:23 pm
Mobine Masimba Show Launch ilizinduliwa rasmi jijini Dar Es salaam katika Hotel ya Serena na wadau kibao wa muziki na filamu walijitokeza….cheki picha wadau

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

[Photos] Rain or sun, hundreds flock to pay their respects to Kanumba The Great

by adminon April 7, 2012 - 8:51 pm
Hundreds of people including Bongo Movie stars, musicians, politicians spent the whole day at Kanumba’s residence to pay their respects, with some still in disbelief of his untimely death. Despite of a heavy rainfall visi...

Sinta akijiachia na Diamond

Wema,Aunt, Jokate, Barnaba na Stars wengi Shine at Diamonds Are Forever Concert!!

by Bongo5 Editoron March 31, 2012 - 9:37 am
Wadau, Baada ya show ya Jana ya Diamonds are forever,Tunakuletea Pics kutoka Mcity ya Stars waliiojitokeza kushow love. Check these Out!