Ali Kiba
-
LATEST ARTICLES
 
Mwana FA na Alikiba

Diamond, Mwana FA na Alikiba waongoza chart ya Mkito ya nyimbo 100 zilizopakuliwa zaidi

by Bongo5 Editoron January 23, 2015 - 10:28 am
Diamond Platnumz, Mwana FA na Alikiba ndio wasanii ambao nyimbo zao zimepakuliwa zaidi kwenye mtandao wa Mkito. Hizi ni nyimbo 10 zilizoongoza kwenye orodha hiyo ya nyimbo 100 zilizopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mtandao h...

Ali Kiba katika vazi la kitamaduni

Alikiba asema ‘soon’ ataachia wimbo na video mpya

by Yasin Ngituon January 13, 2015 - 11:38 am
Msanii wa muziki, Alikiba amesema kuwa baada ya kuona wimbo wa “Mwana” umefanya vizuri anatarajia kuachia wimbo mpya ambao utakuja pamoja na video. Akizungumza na Planet Bongo ya EATV, Kiba amesema hana muda wa kusu...

Ali Kiba katika vazi la kitamaduni

Alikiba awajibu wanaodai video ya ‘Mwana’ ni mbovu

by Yasin Ngituon December 31, 2014 - 5:27 pm
Hatimaye Alikiba ameamua kuwajibu baadhi ya wapenzi wa muziki walioikosoa video ya wimbo wa ‘Mwana’ wanaodai kuwa haiendani na kile kinachoimbwa. Akizungumza na 255 ya XXL ndani ya Clouds FM, Alikiba amesema alichok...

Ali Kiba katika vazi la kitamaduni

Alikiba akanusha kuandaa watu wamzomee Diamond kwenye Fiesta

by Yasin Ngituon October 24, 2014 - 11:30 am
Alikiba amekanusha uvumi unaodai kuwa huenda aliaandaa watu maalum wa kumzomea Diamond Platnumz kwenye show ya Fiesta iliyofanyika October 18 katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Alikiba ameiambia Bongo5 kuwa h...

Alikiba - Mwana Cover Done Mwana & Kimasomaso

Alikiba avunja rekodi ya downloads kwenye mtandao wa Mkito.com

by Bongo5 Editoron September 13, 2014 - 11:58 am
Nyimbo mbili za Alikiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com. Wimbo uliotokea kupendwa zaidi wa Mwana ulipanda hadi nafasi ya kwanza ndani ya masaa 12 baada ya kuzinduliwa Julai ...

Ali

Alikiba: Video ya ‘Mwana’ haitafanyika Afrika, asema anaanza kushoot mwezi huu

by Sandu Georgeon September 4, 2014 - 4:08 pm
Zaidi ya mwezi mmoja uliopita Alikiba alikata kiu ya mashabiki wake waliomiss kazi zake kwa muda mrefu, kwa kuachia nyimbo mbili kwa mpigo ‘Mwana’ na ‘Kimasomaso’, lakini hadi sasa bado hajatoa video. Alikiba ameweka wazi mipan...

Alikiba - Mwana Cover Done Mwana & Kimasomaso

Alikiba azungumzia uwezekano wa kufanya wimbo na Diamond Platnumz

by Yasin Ngituon August 20, 2014 - 6:30 pm
Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni. Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia. Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8), Alikiba amesema upo uwezekano wa...

Alikiba - Mwana Cover Done Mwana & Kimasomaso

Wimbo wa Alikiba ‘Mwana’ wafikisha views zaidi ya laki 1 Youtube ndani ya wiki 3

by Sandu Georgeon August 18, 2014 - 6:13 am
Mapokezi ya Alikiba kupitia wimbo wake mpya ‘Mwana’ aliouachia wiki tatu zilizopita ni ishara njema kwa msanii huyo, kuwa bado ana mashabiki wengi ambao wanaweza kumvusha na kumfikisha anakotarajia kufika. Audio ya wimbo huo am...

Alikiba - Mwana Cover Done Mwana & Kimasomaso

Alikiba: Nawaomba watu wasinikosanishe na Diamond, sina ugomvi naye!

by Yasin Ngituon August 16, 2014 - 1:49 pm
Alikiba anataka watu wafahamu kuwa hana na tatizo na Diamond Platnumz na amewataka watu waache kuwakosanisha. Akizungumza na Bongo5 leo, AliKiba amewataka watu kuachana na tabia ya kuwagombanisha Diamond ili wafanye muziki mzur...

Babu Tale akiwasili jijini Mwanza

Babu Tale: Sidhani kama kuna beef kati ya Diamond na Alikiba

by Yasin Ngituon August 15, 2014 - 1:05 pm
Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema haoni kama kuna beef kati ya msanii wake na Alikiba bali ni ushindani wa kibiashara. “Mimi sidhani kama Diamond na Ali Kiba wana beef, ni biashara, challenging,” Tale amekiambia ...

sporah n kiba

Alikiba aweka wazi chanzo cha beef kati yake na Diamond, akiri yeye ni shabiki wa nyimbo za Platnumz lakini….!

by Sandu Georgeon July 23, 2014 - 6:15 am
Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Alikiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz. Kupitia kipindi cha The Sporah...

10561029_553979581372726_450520135_n

Good Timing? Ali Kiba aonjesha kava la single yake mpya

by Bongo5 Editoron July 21, 2014 - 6:27 pm
Ali Kiba anakuja tena!!! Baada ya kusubiriwa kwa takriban miaka miwili, hitmaker huyo wa ‘Dushelele’, anatarajia kuachia ngoma mpya siku chache zijazo. Picha za kava linaloonekana kuwa ni la ngoma yake hiyo zimeenza...

page

Ali Kiba vs Diamond: Badala ya kulumbana, fanyeni kolabo au tour mpige hela!

by Fred Bundalaon July 21, 2014 - 10:12 am
Vita ya chini kwa chini kati ya Ali Kiba na Diamond Platnumz iliyopo kwa miaka mingi, imeibuka tena na huenda safari hii ikawa kubwa zaidi kama hapatatokea suluhisho. Ali Kiba na Diamond hawasemeshani kwa muda mrefu na hata ule...

AnD

Alikiba asema hana chuki na Diamond, ampongeza lakini…’sifikirii kuongea naye’

by Sandu Georgeon July 17, 2014 - 3:56 pm
Wiki Ijayo Alikiba atakuwa mgeni katika kipindi cha runinga cha The Sporah show. Katika promo ya mahojiano yake na Sporah inayoendelea kurushwa kupitia Clouds TV, Alikiba amemzungumzia Diamond Platnumz ambaye huwa inasemekana w...

Ali Kiba

Ali Kiba kuachia wimbo ‘Dar Es Salaam’ unazungumzia msichana anayetumia madawa ya kulevya

by Yasin Ngituon July 14, 2014 - 4:10 pm
Hitmaker wa Dushelele, Ali Kiba anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Dar Es Salaam’ ambao umetengenezwa katika studio za Combination Sounds chini ya producer, Man Walter. Akizungumza na Bongo5, mdogo wake na Ali Kiba , Abdu, a...

Ali Kiba

Ali Kiba:Nawasaidia wasanii wachanga kutokana na mateso ambayo nimepata

by Yasin Ngituon July 11, 2014 - 3:24 pm
Msanii wa muziki, Ali Kiba amefunguka kwa kusema kuwa anapenda kufanya kollabo na wasanii wachanga ili kuwasaidia kimuziki kwa sababu yeye mwenyewe alipata shida sana kutoka kimuziki. Akizungumza na 255 ya XXL ndani ya Clouds F...

Alikiba2

Video:Sikiliza teaser ya wimbo mpya wa Ali Kiba

by Yasin Ngituon June 7, 2014 - 1:44 pm
Baada ya ukimya wa muda mrefu wa msanii wa muziki Ali Kiba, leo kupitia instagram ametoa teaser ya wimbo mpya ambao unaonyesha huwenda ndiyo ujio wake.

kiba2

Picha: Majibu ya ukimya wa Alikiba kupatikana soon, aanza rehearsal ya video mpya

by Sandu Georgeon May 20, 2014 - 11:06 am
Alikiba amekuwa akiulizwa maswali mengi kuhusu lini anatoa kazi mpya sababu amekuwa kimya kwa muda mrefu sana, na team Alikiba inahamu ya kupokea zao jipya kutoka kwake. Habari njema ni kuwa dalili njema zimeanza kuonekana saba...