Bongo Star Search
-
LATEST ARTICLES
 
Madam Rita

Madam Rita: Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana

by Yasin Ngituon December 23, 2013 - 5:50 pm
Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo hadi akafanikiwa. Kupitia Facebook,...

IMG_3965

Picha: Red Carpet EBSS Finals 2013

by Rama Nnauyeon December 1, 2013 - 10:30 am
Hizi ni picha za red carpet za Jumamosi hii kwenye fainali za Bongo Star Search 2013, Escape 1, Dar es Salaam. Barnaba Kimbunga Madam Rita Master Jay na Madam Rita Master Jay Shaa Snura na Meneja wake HK Snura na team yake Wart...

IMG_4301

Picha/Video: Emmanuel Msuya ndio mshindi wa EBSS 2013

by Rama Nnauyeon December 1, 2013 - 10:04 am
Emmanuel Msuya jana alitawazwa mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2013 kwenye fainali iliyofanyika kwenye ufukwe wa kiota cha Escape 1 jijini Dar es Salaam. Msuya aliwabwaga wapinzani wake wanne Elizabeth Mwakijambile,Ami...

Madam Rita akiongea na waandishi maandalizi yalivyo kamilika

Video: EBSS yatangaza mkakati mpya wa matumizi ya zawadi ya mshindi, hatotumia atakavyo

by Rama Nnauyeon November 28, 2013 - 3:25 pm
Mkurugenzi wa Benchmark Productions, Rita Paulsen amesema mshindi wa mwaka huu wa Bongo Star Search atasaini mkataba maalum na BSS wa namna fedha atakazoshinda zitakavyotumika kwa makusudi maalum ya kumsaidia kimuziki. Akiongea...

1452502_603736013006719_1120364618_n

Lamar, Shirko na Sheddy Clever kutayarisha nyimbo za washiriki 6 walioingia fainali ya EBSS

by Bongo5 Editoron November 11, 2013 - 10:51 am
Watayarishaji watatu wa muziki nchini, Lamar, Shirko na Sheddy Clever watatayarisha nyimbo za washiriki 6 wa shindano la Epiq Bongo Star Search walioingia fainali. Washiriki hao ni Amina Chibaba, Maina Thadei, Elizabeth Mwakija...

1185959_596418857075506_439036066_n

Rita Paulsen adai Nay wa Mitego ni msanii mbunifu, amkaribisha atumbuize kwenye EBSS

by Fred Bundalaon August 23, 2013 - 3:18 pm
Rita Paulsen hana mpango wa kumshtaki Nay wa Mitego kwa kuichafua Bongo Star Search kwenye Salam Zao. Infact aliusikia wimbo huo hata kabla ya haujatoka.

bss

Washiriki 20 bora wa Epiq Bongo Star Search 2013 kuingia rasmi kambini

by Rama Nnauyeon August 23, 2013 - 12:15 pm
Washiriki 20 wameingia rasmi kambini kwaajili ya shindano la Epiq Bongo Star Search 2013.

Madam Rita

Rita Paulsen ataja sababu mbili zilizomfanya aihamishie Bongo Star Search TBC1

by Bongo5 Editoron August 7, 2013 - 3:51 pm
Epiq Bongo Star Search ya mwaka 2013 haitaoneshwa tena kupitia ITV. Mwaka huu shindano hilo la kusaka vipaji vya kuimba litakuwa likioneshwa kupitia TBC1. Kupitia Facebook, Rita Paulsen aka Madam Rita ambaye ni mwanzilishi na j...

da8ada90f2df11e2bd9722000ae80ebd_7

Nay wa Mitego ashangaa kuona washindi wa BSS wakipigika licha ya kulipwa fedha nyingi

by Yasin Ngituon July 23, 2013 - 11:10 am
Hit maker wa Muziki Gani, Nay Wa Mitego ametuma salamu kwa mwandaaji ya shindano la Bongo Star Search, Rita Paulsen kuhusu zawadi wanayopewa washindi wa shindano hilo ambayo huwa haiwafikishi popote.

Sevelino

Video: Norman Sevilino (BSS 2012) akizungumzia ujio wake mpya

by Bongo5 Editoron May 16, 2013 - 11:00 am
Norman Sevilino alikuwa mshiriki wa shindano la Bongo Star Search mwaka jana na hapa anaelezea ujio wake mpya kimuziki.

EPIQ STARS KUKAMUA MTWARA JUMAMOSI HII

by Bongo5 Editoron March 22, 2013 - 4:59 pm
Muendelezo wa ziara ya wasanii walioshiriki shindano la kuimba la Epiq BSS inaendelea kesho jumamosi ya tarehe 23 katika viwanja vya Umoja zamani ukijulikana kama Nangwanda Sijaona kwa kiingilio cha shilingi elfu 2000 tu.

Washindi wa Epiq BSS wafunika maisha club

by Bongo5 Editoron March 2, 2013 - 3:26 pm
Mshindi wa shindano la Epic Bongo Star Search 2012/13 Walter Chilambo pamoja na washiriki wenzake waliofika hatua ya kumi bora jana walimalizia tour yao kwa kufanya shoo kali katika ukumbi wa New Maisha Club wakisindikizwa pia ...

page

Epiq stars kuwasha moto Maisha Club, Dar Ijumaa hii

by Bongo5 Editoron February 26, 2013 - 12:16 pm
Ziara ya kuzindua nyimbo za wasanii walioshiriki shindano la kuimba la Epiq BSS itaendelea tarehe 1 mwezi wa tatu, ijumaa hii katika ukumbi wa Maisha Club Dar ambapo wasanii wote walioingia kumi bora wanatarajiwa kufanya show k...

Baadhi ya mashabiki waliohudhuria (640x427)

Ziara ya Epiq BSS yafunika Dodoma, sasa ni zamu ya Dar

by Bongo5 Editoron February 18, 2013 - 3:44 pm
WASANII wa Muziki wa Kizazi Kipya walioshiriki shindano la kuimba la Epiq Bongo Star Search, Norman, Husna, Menina, Wababa, Geofrey na Walter jana walionyesha wao ni moto wa kuotea mbali baada ya kuwapagawisha mashabiki zaidi y...

Walter

Mshindi wa Epiq BSS, Walter atoa wimbo wake mpya siku ya Valentine

by Rama Nnauyeon February 14, 2013 - 11:08 am
Mshindi wa shindano la kuimba la Epiq Bongo Star Search, Walter Chillambo, ameachia ngoma yake mpya iitwayo ‘ Siachi’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki wake.

bss

Mastaa wa BSS 2012 kuburudisha Dodoma Ijumaa hii

by Bongo5 Editoron February 13, 2013 - 11:09 am
Washiriki wa shindano la Epiq Bongo Star Search wanatarajia kuanza ziara za mikoani ambapo wataanzia mjini Dodoma Ijumaa hii kwenye ukumbi wa Maisha Club ikifuatiwa na Dar es Salaam.

Videos: Jinsi Walter Chilambo alivyoibuka mshindi wa EBSS 2012

by Bongo5 Editoron November 10, 2012 - 10:15 pm
Mshiriki wa Epiq Bongo Star Search 2012 kutoka Dar-es-Salaam Walter Chilambo usiku wa kuamkia Jumamosi amekuwa mshindi wa jumla wa shindano hilo na kujinyakulia kitita cha shilingi za kitanzania Milioni 50 kama zawadi ya mshind...