Billcanas
-
LATEST ARTICLES
 
featured image

Linah na Linex kukamua Bilicanas wiki hii

by adminon April 14, 2011 - 12:19 pm
Mwanadada Linah na mwanakaka Linex wanatarajia kufanya Show, kabambe katika usiku pale Bilicanas katika Usiku wa Juma pili,

featured image

Shetta kuzindua na Dar Stamina

by adminon March 10, 2011 - 3:42 pm
Katika tamasha linalofanyika siku ya Jumapili pale Bilicanas, mwanamuziki Amini Mwinyimku ambaye atakuwa kwenye mwaliko wa stesheni ya ABC ya Afrika Kusini inayomilikiwa na Wamarekani katika mahojiano ya kipindi cha Good Mornin...

featured image

Anti Virus yazinduliwa

by adminon March 2, 2011 - 2:23 pm
Mwasisi wa muziki wa Bongo Fleva, mbunge wa Mbeya mjini, na waziri kivuli wa burudani na michezo wa Chadema Joseph Mbilinyi aka Sugu, juzi amezindua albamu yake ya Anti Virus Vol one pale Bilicanas, akiwa na kundi lake la Vinage.

featured image

Bekka Kuzindua Bilicanas

by adminon March 2, 2011 - 12:29 pm
Msanii wa muziki wa kizazi kipya toka Tanzania House of Talent THT, Beka amesema anatarajia kufanya vitu vikubwa zaidi ambavyo watanzania wamekuwa wakivikosa kutoka kwenye burudani katika uzinduzi wa wimbo wake wa Natumaini Remix.

featured image

Dulayo azindua video Billc

by adminon February 21, 2011 - 7:01 pm
Muimbaji wa muziki wa kizazi kipya Dulayo Jumapili iliyopita amezindua wimbo wake wa Twende na mie, ambao umekuwa gumzo kwenye Night Club.

featured image

TID na Top Band ndani ya Bilicanas

by adminon February 2, 2011 - 3:21 pm
Top Band ya TID ikitoa burudani ya kila Jumanne pale Club Billcanas, hapa akionyesha uwezo wake wa kuimba na kusakata rhumba.

featured image

Joh Makini ndani ya Billz

by adminon November 29, 2010 - 10:01 am
  Kama ilivyo ada, Kila Jumapili pale Club Bilicanas, wasanii hupata nafasi ya kuingia jukwaani na kukonga nyoyo za mafans,

featured image

Fiesta yaanzia Billicanas

by adminon July 17, 2006 - 3:56 am
UFUNGUZI wa tamasha kubwa la muziki linalofanyika kwa mwaka mara moja linalojulikana kama ‘FIESTA’ lilizinduliwa juzi kwenye Ukumbi unaotamba Afrika Mashariki na Kati, Club Billicanas, jijini Dar es Salaam.