Habari

Candy and Candy Tanzania kutoa tuzo za heshima

Kwa mara ya kwanza Candy and Candy Group of Companies wanakuletea tuzo ya heshima Tanzania “BIG ISHU AWARDS” zitazotolewa kwenye taasisi mbalimbali,kutokana na ubunifu na namna walivyofanikiwa kubadilisha maisha ya wengi nchini Tanzania.

Tuzo hizo zitalenga makampuni na mashirika mbalimbali kutokana na namna ambavyo zinatoa fursa za kimaendeleo kwa watanzania.

Tuzo hizi pia zinatoa fursa ya kukutanisha wamiliki wa makampuni na mashirika mbalimbali kuweza kusheherekea na kubadilishana mawazo siku hiyo.

Orodha na vipengele vitakavyoshindaniwa katika tuzo hizo ni:-

-CORPORATE COMPANIES
-AGENCIES
-NGO’S
-SOCIAL NETWORKS
-GOVERNMENT MINISTRIES
-MEDIA
-EDUCATION INSTITUTION
-SPORTS
TOURISM AND HOSPITALITY
-ENTERTAINMENT

Big ishu watazindua kampeni ya media kutangaza washiriki wote na miradi yao waliyoanzisha ya kuwasaidia wananchi kubadilisha maisha yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents