Bwana Misosi ndani ya usiku wa Misosi


Pin It

MISOSI-ANKO_MO

Mwanamuziki wa kizazi kipya Bwana misosi, anatarajia kufanya Show kabambe, katika usiku w Billicanas, Huu ndo mpango wa jumapili hii ndani ya club bilicanaz!! BWANA MISOSI NDANI YA USIKU WA MISOSI Pamoja na KUNDI LA KITU T..’K’ KWA MKEO NA Kundi la Blutooth Watoto wa Nyonga Lainiii.

.Bila kusahau Madj’s wakali jijini Dar es salaam  SUPER DJ’S/DJ EBRAH NA DJ EJAY Wakitwanga mipini ya ukweli mwanzo mwisho

Pin It

Add a comment

comments