Burudani

Busta Rhymes aondoka kwenye label ya YMCMB

Busta Rhymes sio member wa YMCMB tena. Baada ya kukaa miaka miwili na label hiyo, rapper huyo mkongwe ameondoka Cash Money.

birdman-busta

Akiongea kwenye kituo cha SiriusXM cha ‘Sway in the Morning’, Bussa Buss amedai kuwa kuondoka kwake ni kutokana na kutooelewana katika masuala ya kiubunifu.

Busta amesonga mbele na career yake na mapema mwezi huu aliachia single yake ‘Calm Down’ aliyomshirikisha Eminem na anaanda album yake ya 10, E.L.E. 2.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents