Burudani

BTS Video: Utengenezwaji wa video ya Victoria Kimani ‘Prokoto’ ulivyokuwa

Hii ni video ya yale yaliyojiri (behind the scenes) wakati wa utengenezwaji wa video ya ‘Prokoto’ ya Victoria Kimani wa Kenya, ambayo amewashirikisha Diamond na Ommy Dimpoz. Video hiyo iliongozwa na Kevin Bosco Jnr wa Kenya na kufanyika Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents