Tragedy
Breaking: Sajuki Afariki Dunia
Muigizaji wa Bongo Movie, Juma Kilowoko, almaarufu kama Sajuki, amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika hospitali ya Muhmbili alipokua anatibiwa.
Insadikika kwamba msanii huyo alikua na mke wake Wastara.
Tutaendelea kuwapa updates za story hii na mipango ya mazishi ya msanii huyu.