Tragedy

Picha: Ajali nyingine mbaya ya basi yaua watu wanne, Gairo

Basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam leo kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya Kiegeya, Gairo mkoani Morogoro na kusababisha ajali ya watu wanne na kujeruhi watu wengine 19.

1410170779158
Shughuli za uokozi zikiendelea muda mfupi uliopita

Basi hilo lilitumbukia kwenye daraja kufuatia ajali hiyo.

Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana mara moja

bas3
Baadhi ya mili ya watu waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo

ajali tabora 4

ajali tabora 1

IMG-20140908-WA0022

IMG-20140908-WA0019

IMG-20140908-WA0021

Ajali hiyo imetokea siku chache tu baada ya ajali nyingine ya mabasi mawili iliyotokea Musoma na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 35.

PICHA: AJALI ILIYOHUSISHA MABASI 2 YASABABISHA VIFO VYA ZAIDI YA WATU 35 MUSOMA

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents