Burudani

Brad Pitt ataka kuongezewa muda kuwaona watoto wake

Brad Pitt anataka kuongezewa muda zaidi wa kuwaona watoto wake.

041710da000003e8-0-one_visit_a_week_brad_pitt_wants_more_visitation_with_his_six_ch-m-4_1481161739378

Kwa sasa muigizaji huyo ameruhusiwa kuonana na watoto wake mara moja kwa wiki. Jumatano hii hakimu alikataa kusikiliza ombi la dharura la Brad kuwa ugomvi wake na mkewe Angelina Jolie ni wao binafsi.

Pitt na Jolie wamefanikiwa kuzaa watoto watatu ambao ni Maddox, Pax, Zahara, huku Maddox, Pax na Zahara wakiwa ni watoto wao waliowaasili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents