Burudani

Bow Wow na Soulja Boy waja na album ya pamoja, Ignorant S**t

Rapper Bow Wow pamoja na Soulja Boy wamekamilisha album yao ya pamoja. Wasanii hao wawili wamewashtukiza tu mashabiki kutangaza kuwa wameshirikiana kwenye mradio huo uliopewa jina Ignorant S**t

soulja-boy-bow-wow-ignorant-shit-album-cover-art

Hizi ni nyimbo zilizomo kwenye album hiyo:

1.Intro
2.Ignorant Shit
3.My House
4.Rick Flair
5.That Way Remix
6.All About Paper f. Rich The Kid
7.Fucking Up a Check
8.Lean
9.Fight, Fuck & Makeup
10.Louis Vuitton
11.What They Want

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents