Burudani

Boss mwingine wa Mtandao wa Tidal ya Jay Z ajiengua

Boss mwingine wa mtandao wa kustream muziki wa Jay Z, Tidal, Zena Burns ameongezeka kwenye orodha ya watendaji wa kampuni hiyo walioacha kazi hivi karibuni. Kwa mujibu wa Music Week.

Jay Z

Zena Burns ambaye alikuwa ‘Senior Vice President of Label and Artist Relations’, alifanya kazi katika nafasi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja toka May hadi June. Tidal tayari imemuajiri Timothy Patrick Riley kuziba nafasi hiyo,

Tidal iliyozinduliwa upya March mwaka huu baada ya Jay Z kuinunua, imepoteza watendaji wengi wa nafasi za uongozi katika kipindi kifupi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents