Habari

Boss Lady ZARI kutoka Uganda apata ZALI la kuwa balozi wa ‘Miss Asia Pacific World Super Talent 2013’

Wenye nazo huwa wanazidi kuongezewa, ‘Boss Lady’ ZARI kutoka Uganda wiki hii amepata ZALI la kuwa balozi wa kimataifa na mshauri wa ‘Miss Asia Pacific World Super Talent Endeavour 2013’ kutokana na mafanikio makubwa aliyonayo kama ‘young & successful African lady’.

boss lady3

Zarinah Tlale anaefahamika kama Boss Lady licha ya uzuri wake ni mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa kwao Uganda na Afrika Kusini ambako ndipo anapofanyia shughuli zake nyingi.

Kwa mujibu wa barua ya (09th June, 2013) iliyosainiwa na muanzilishi na Rais wa Miss Asia Pacific (STC), Zari amepata nafasi hiyo kutokana na kuwa ni msichana mwenye ushawishi na mfano mzuri katika sekta ya biashara ya burudani kwa ujumla barani Afrika.

“We, the Miss Asia Pacific World Super Talent Committee, do hereby appoint Ms Zarinah (a leading figure in the music, fashion, glamour entertainment business in AFRICA) as the International Ambassador and Mentor of The Miss Asia Pacific World Super Talent Endeavour 2013.

We are confident that she would be able to properly promote our International pageant and be available on the schedule of the dates for our screening and all other promotions around the world.”

zari

Source: Uganda Online

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents