Burudani

Bongo5 SWAGG ya Miaka 50 ya Tz

b5_flag_lite
Kampuni ya Bongo5 inapenda kuungana  na Watanzania wote katika kusherekea miaka 50 ya Uhuru wa Amani katika nchi  yetu kwani ni jambo pekee la kusifiwa na kufanya nchi yetu iendelee kutambulika kama kisiwa cha Amani duniani.

Pia Bongo5 inawatakia viongozi na watanzania wote moyo wa kuwa na subira, uvumilivu, upendo na uzalendo kwa nchi yao  katika kuendelea kuitunza Amani  ili kuweza kutimiza miaka 50 mingine  tutakayoianza hivi karibuni.

Kama Bongo5 tutaendelea kukuletea burudani zote, ambazo tumekuwa tukitoa siku zote, kuanzia New Audio, New Video, Interview, na stori motomoto, ambazo zimekuwa chachu ya stori zingine kuibuka.

Endelea kufuatilia kila siku hapa Bongo5…

Mungu ibariki Tanzania

Mungu ibariki BONGO5

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents