Bongo Movies yapata viongozi wapya


Pin It

Hivi karibuni Bongo Movies ilipata viongozi wake wapya katika uchaguzi uliofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Viongozi wapya waliochaguliwa ni pamoja na Vincent Kigosi aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mkuu, Irene Uwoya Makamu wa Mwenyekiti , Chiki Mchoma Katibu Mkuu, Single Mtambalike aka Richie Richie alichaguliwa kuwa Mtunza Fedha Mkuu na Makamu wake kuwa Jackline Wolper.

Kutoka kushoto ni Chiki Mchoma, Ray na Jack Wolper

Mwenyekiti wa zamani wa Bongo Movies JB akimpongeza Jackline

Shilole akipiga kura

Irene Uwoya na Chiki

Picha kwa hisani ya Ray The Greatest

Pin It

Add a comment

comments