Bongo Movie

Bongo Movie wafikisha mwaka mmoja (Photos & Videos)

Juzi wasanii wa Bongo Movie walikuwa wakifanya sherehe ya kusherekea mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa kampuni hiyo. Kiongozi wa kampuni hiyo. Jb ambaye pia aliwatambulisha viongozi ambao wanaunda na kuiongoza kaampuni hiyo huku ikifuatana na hatua ya kukata keki, tukio lilifanya na mtoto wa rais, Ridhiwan Kikwete.
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=SuaJY4edGFE[/youtube]
Jb Aliwataka wasanii waweze kuwa na moyo wa kushikamana kwakuwa kufika hapo walipofika ni jambo la kupongezwa, haswa kutokana na migogoro yao ambayo imekuwa ikijitokeza kila siku.
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=AzfHi5qjf2c[/youtube]

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents