Bongo Flava ndani ya CNN

Bongo Flava ndani ya CNN
Wadau wa muziki wa kizazi kipya wasikose mahojano ya Nakaaya ndani ya
kipindi maalumu cha “Inside Africa” kitakacho onyeshwa siku ya Jumanne
17-03-2009 katika CNN.


Mwanadada Nakaaya ambaye anazidi kuwakilisha Tanzania ameeleza kuhusu muziki huo wa Bongo Flava, mwelekeo wake na maana yake.

Nakaaya anazidi kung’ara kimataifa baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili na Sony BMG, kampuni kubwa ya kusambaza muziki duniani. Inasemekana kwamba yupo katika maandalizi ya kutoa official remix 5 za ngoma yake Mr. Politician, zikiwemo collabo na Kanye West, Common, Professor Jay na wengineo.

Keep it up Nakaaya, na wengine wote wanaochangia kukuza muziki wetu wa nyumbani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents