Burudani

Bonanza leo laingia siku ya pili

Leaders_face

Katika kuendelea kwa burudani pale kwenye viwanja vya Leaders Club, mambo yalikuwa babu kubwa kwa siku ya jana pindi walipopanda wasaniii mbalimbali, wakiwemo Tip Top Connection, Diamond, Linex na wengine wengi. nazidi kukusisistizia bado


haujachelewa, elfu saba yako mkononi wahi ukajipatie burudani ikiwemo nyama choma, mchezo wa Golf, Pool table na kila aina ya mchezo wewe unaopenda.

leader_pombe_kali

Kuna kila aina ya bia… kali na zile za watu kama sisi… zipo bia mpaka unaweza kusema ni Perfurm zinavyopendeza

Leader_kwaito

Nani asiyeweza kucheza kwaito….kama unajijua huwezi.. sogea Leaders Club sasa hivi, uone kazi inavyofanyika… kwaito inaraha yake unapocheza kwa mtindo tofauti…

Leaders_zila

Godzilla naye alikuwepo, na mwanamuziki Diamond wote waliweza kufanya mambo makubwa.

leaders_watoto

Sio wakubwa peke yao hata watoto tumewajali, hivyo walete watoto wako iliupongoze kero za kukudai sehemu ya kwenda wikiend hii

leaders_urembo

Kila kitu kinachofanyika kwenye mwili wa mwadamu na kukifurahia basi hiyo pia ni burudani, na ndivyo ilikuwa na inaendelea pale kwenye viwanja vya Leaders Club kwa kukupa kile ukipoendacho, kuhusiana na kile ukipendacho hata kama unapenda urembo kama hivii…

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents