Michezo

Bonanza la waandishi lafana

1__mpira_balaa

Siku ya jumamosi tarehe 12 mach waandishi walikuwa wakisherehekekwenye bonanza linalo fanyika kila mwaka, huku wakidhaminiwa na kampuni ya bia Tanzania, tamasha hilo linakusanya waandish kutoka stesheni mbalimbali za Tv, Redio na magazeti.

Hakika inakuwa burudani ya kutosha kwa waandishi, pia zaidi ya buludani kunakuwa na kufahamiana na kujuana na hata kuzoeana na baadaye kuja kujifunza kazi zaidi kutoka kwa mwandishi mwingine ambaye anajua zaidi.

Huwa inaleta hamsha kwa waandishi ambao ndiyo kwanza wanachipukia, kwani wanapata fulsa ya kuwaona na hata kuongea na waandishi wengine ambao isingine kuwa hivyo imempa tabu sana kukutana naye.

Abdul_King
Mtaalam wa kuchora katuni, anaitwa Abdul Kingo naye alikuwepo ingawa hapa sijui alikuwa akishangaa nini?

bia_kwenye_pipa

Mmbo ya bia ndiyo kama unavyoona haihitaji ushahidi wa kuambiwa

Bigi_na_bia

Kipa_mappepe

Huyu alikuwa goli kipa wa Ipp (Daily News), timu ake ikipambana na Tsn (Habari leo) na mambo yalikuwa Tsn 1 Ipp 4,

Mpira_wa_bonge

Hata kama ukiwa na kitambi pia uliruhusiwa kucheza,

mwendo_wa_vinywaji

Viongozi
Viongozi wa Bonanza wakiwa wanajadili jambo fulani ilikuweza kuleta raha zaidi na bonanza liendelee kila mwaka, hongera ndugu zangu

Vol_Ball

wachezaji

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents