Habari

Bodi ya Mikopo: Tunaanza kukata 15% ya mshahara kwa wadaiwa kuanzia mwezi huu

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imearifu kutakuwa na ongezeko la makato katika mishahara ya watumishi waliofaidika na mikopo ya elimu hiyo kutoka asilimia 8 mpaka asilimia 15.

Hii taarifa yake:

Hivi karibuni bodi hiyo ilitangaza kuwepo msako wa wadaiwa sugu sambamba na kubandika picha na majina ya wadaiwa hao.

BY: Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents