Burudani

Black Coffee akamilisha collabo yake na Alicia Keys

Mshindi wa tuzo ya BET kwenye kipengele cha Best International Act: Africa, Black Coffee amekamilisha kufanya collabo yake na Alicia Keys.

13166850_1723454604559448_475247523_n

Akiongea na Sunday Times, Black Coffee amekubali taarifa hizo kuwa za kweli lakini alikataa kuweka kila kitu wazi kwa kusema, “can’t keep telling people everything I’m doing, as it may bore people.”

Jina la Black Coffee limeonekana kuwa geni kwenye masikio ya wengi lakini huyu ni mmoja kati ya wasanii wenye heshima kubwa Afrika Kusini na mpaka sasa amefanikiwa kuachia albamu sita na tayari ameshakutana na mastaa wakubwa akiwemo Diddy na Wiz Khalifa alipohudhuria tamasha la Ultra Music [Festival] lililofanyika, March 2016, Miami.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents