Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Birdman athibitisha ujio wa albamu ya Lil Wayne ‘Tha Carter V’

By  | 

Birdman amethibitisha kuwa albamu ya Lil Wayne ya ‘Tha Carter V’ itatoka.

Akiongea na Travis Scott, bosi huyo wa Cash Money amesema albamu hiyo itatoka na matatizo yake na Lil Wayne atayaweka pembeni ili mengine yaendelee.

“Carter V coming out. It’s definitely coming out. The situation with me and my son, bruh – I’m a put all of that behind us and just let it move forward,” amesema Birdman. “Wayne is one of the best artists ever to do the game, and I want to see him continue to do what he been doing, and I’m going to support whatever he’s doing,” ameongeza.

Hata hivyo mwezi Septemba mwaka jana, Lil Wayne alidai kuwa hawezi kuacha muziki lakini hatofanya tena kazi na Birdman.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW