Burudani

Big Brother Africa 2014: Rwanda na Sierra-Leone zaondolewa kushiriki msimu huu

Baada ya Rwanda kutangazwa kuchukua nafasi ya Angola iliyoondolewa katika msimu mpya wa Big Brother Africa: HotShots mwezi May mwaka huu, habari mbaya kwa washiriki na mashabiki wa Rwanda ni kuwa hawataweza tena kuwa sehemu ya shindano hilo litakalozinduliwa rasmi Jumapili (September 7).
bba

Nchi nyingine ambayo imetangazwa kuwa haitashiriki katika msimu huu ni Sierra-Leone.

Sababu kubwa ya nchi hizo kuondolewa kushiriki imetajwa kuwa ni uchache wa muda wa kukamilisha taratibu za safari kwaajili ya washiriki wa nchi hizo.

Hii ni taarifa iliyotolewa na MNET Africa Magic na Endemol SA:

“Unfortunately, due to schedules and logistical constraints there was insufficient time to follow the necessary procedures in order to process the required travel documentation which has recently become a more complex procedure.

M-Net and Endemol SA wish to extend their gratitude to all those individuals, organizations and parties which assisted in working to secure the inclusion of Housemates from both countries.

Whilst it is not possible to include Housemates from both countries in this season, M-Net and Endemol SA are confident that they are able to improve the process in order to successfully incorporate Housemates from both countries if there are future editions of the series”.

Source: DSTV

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents