Burudani

Bifu imeisha kati ya Berry Black na White

“Juzi nashukuru Mungu nimeweza maliza tofauti kati ya Berry White na Berry Black kwa kuwakutanisha tena katika uzinduzi wa album ya Berry Black (Nafsi Yako) na album ya Chege (Karibu Kiumeni) bifu ilidumu tokea mwaka 2006 walipotoa wimbo wa mwisho ulioitwa ‘Na Wewe tu’ ft. Shirko.
Kwa sasa wapo peace lakini watabaki kila mmoja akifanya kazi kivyake na wanaweza shirikiana, so 2 Berry haipo tena watabaki kutumia majina yao Berry White au Berry Black.

Walikuwa hawasalimiani kabisa na walikuwa kama chui na paka kwa sasa kama mnavyoona katika pics wapo peace kabisa.

Nawashukuru sana na Amani idumu baina yao Inshallah, kuendeleza Zenji Fleva” Guru Ramadhani (kati pichani) ambaye pia ni Meneja wa studio ya Guru Recordz

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents