Burudani

Bien Aime wa Sautisol alaani kuibiwa wazo lake na serikali

Msanii wa muziki ambaye ni mmoja kati ya vijana wanaounda kundi ka Sauti Sol la nchini Kenya, Bien Aime ametoa ya moyoni kuhusu kile anachokiona kama kutotendewa haki ba serikali yake.

Muimbaji huyo amedai kwamba wazo (idea) waliowasilisha kwa Rais Uhuru Kenyatta limetumika bila ya wao kujumuishwa, kinyume cha walichotarajia kama walio ‘mastermind’ kuanzishwa kwa studio za kisasa katika maeneo ya mashinani ili kuwapa vijana walio na vipaji nafasi ya kutengeneza kazi bora.

Cha kushangaza ni kwamba walialikwa kuhudhuria uzinduzi wa mradi huo.

Bien alipost ujumbe huu kwenye Instagram:

“On December 29 2015 I had the honor to meet with His Excellency The President in Statehouse Mombasa. The agenda was Kenya Music Industry and Youth. Myself and my sauti sol brothers shared a proposal called STUDIO MASHINANI with His Excellency. It was an extensive project involving Music studios, community radio, ICT Centers and Libraries with the spirit of community service.”

Aliendelea, “We were further instructed to give the proposal to Bruce Odhiambo who was at the time Chair of the Youthfund office. We teamed up with Raphael Obonyo, Cedric Kadenyi tighten the whole proposal with budgets and standard operating systems for the project. The Proposal was sent to the relevant parties. Only to wake up today a year and some months later to see the project being launched countrywide by a JAMAICAN ARTIST!!!!!! NOT EVEN A KENYAN!!!!!”

“I am not in any way implying that The President has a hand in this because he deals with millions of things and this may just be one of those that he delegated. I feel so robbed. I plan to make everything public soon. Just so that the ones who want to can learn from it.”

Acha komenti yako hapo chini msomaji wangu wa pawa.”

Imeandikwa na: Teddyza Agwa
Instagram @teddybway

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents