Habari

Bibi Bomba: Asha Boko ashiriki usaili wa Tanga, Dodoma wapatwa mwakilishi (Picha)

Msako wa kuwatafuta wawakilishi wa mikoa mitano (Mwanza, Dodoma, Tanga, Mtwara na Morogoro) wa shindano la Bibi Bomba msimu wa tatu umeendelea wiki hii. Tayari mwakilishi wa Dodoma amepatikana aitwaye Mariam Lugaya.

 

IMG-20140424-WA0000
Mariam Lugaya, mwakilishi wa Tanga kwenye Bibi Bomba msimu wa 3

Jana usaili huo ulifanyika mkoani Tanga ambapo miongoni mwa watu waliojitokeza kwenye msako huo ni pamoja na muigizaji na mchekeshaji, Asha Boko.
IMG-20140424-WA0001
Asha Boko akiwa kwenye usaili

IMG-20140424-WA0002

IMG-20140424-WA0003

IMG-20140423-WA0000

IMG-20140423-WA0002

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents