Burudani

Beyonce hutumia shilingi bilioni 1.7 kila mwaka kujiremba!

Kwa mujibu wa jarida la OK! Beyonce hutumia dola milioni moja kila mwaka ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.7 kujiremba peke yake.

beyonce-jpeg

Kwa mujibu wa chanzo kimoja, Bey huhakikisha kuwa anaonekana ‘perfect’ ambapo hawezi kuondoka nyumbani bila kutengenezwa nywele zake na kufanyiwa make up ‘professionally’

Chanzo hicho kimesema ukijumlisha gharama za kujitengeneza hivyo hufika kiasi hicho cha dola.

“So what does $1 million buy Beyonce? That amount gets her a personal spray tan artist, a staff masseuse, skin treatments such as Botox and chemical peels, and loads of skin products. The insider revealed that Beyonce spends as much as $1,000 a day on treatments to keep her skin radiant and flawless,” umeandika mtandao wa inquisitr.com.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents