Burudani

Beyonce atumia Instagram kutuma ujumbe kuwa ndoa yake na Jay Z haifi leo wala kesho!!

Beyonce bado anaendelea kuuambia ulimwengu kuwa familia yake ina furaha na ndoa yao bado ina nguvu baada ya kupost picha Instagram akiwa na mume wake na mtoto wao wa miaka miwili, Blue Ivy.

Picha hiyo ni sehemu ya jibu lake kufuatia ripoti ya New York Daily News kuwa ndoa yake ipo mbioni kuvunjika.

cigars-and-laughter-beyonce-jay-z-6th-anniversary-vacation-dominican-republic-the-jasmine-brand

Gazeti la Uingereza, The Mirror limedai kuwa wawili hao wanafanyiwa counseling ya ndoa wakati wakiendelea na ziara yao ya ‘On the Run’. Jay na Bey wapo pamoja kwa miaka 12.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents