Habari

Best Hotels in Africa: Readers’ Choice Awards 2014 – Gibb’s Farm, Ngorongoro ni #6

Kama unataka kujua hoteli bora za Afrika, tuzo za hivi karibuni za Reader’s Choice Awards zilizoandaliwa na kampuni ya Condé Nast Traveler zinaweza kukupa jibu.

verandah-view
Muonekano wa nje wa Gibb’s Farm, Ngorongoro

Cape Town, South Africa imeongoza kwa kuwa na hoteli tano kwenye orodha ya hoteli 10 zilizotajwa.

040113-32
Gibb’s Farm

Gibb’s Farm, Ngorongoro, Tanzania imekamata nafasi ya sita. Mwaka huu wasomaji 76, 659 wamejibu questionnaire zilizoandaliwa kubaini hoteli bora.

040113-56
Chumba kimoja wapo katia ya 16 vilivyopo

040113-62

Kipengele kingine kwenye tuzo hizo ni Top 20 Safari Lodges & Camps ambapo Tanzania zimeingia mbili. Singita Grumeti ya Serengeti imekamata nafasi ya tatu na Four Seasons Safari Lodge Serengeti imekamata nafasi ya 8.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents