Burudani

Ben Pol: Msanii kujisimamia mwenyewe inaua ubunifu

Ben Pol anaamini kuwa pindi msanii anapojisimamia mwenyewe, anapoteza ubunifu muhimu anaouhitaji ili kufanikiwa.

alke9121

Anadai kuwa ni muhimu kwa msanii kuwa na management au watu wa kumsaidia.

“Ni muhimu kwasababu kwanza ukifanya vitu vingi kwa msanii inachosha, inaua ule upande wa creativity kwenye utunzi labda, kujifikiria namna ya kujiboresha wewe kama msanii, sauti na vitu vingine,” Ben Pol alikiambia kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha EATV kwenye mahojiano ambayo hayakuruka kwenye TV (Extended).

“Inakula sana time, we uanze kupigia simu director, promota, yaani inakata sana, kwahiyo ni vizuri kuwa na either manager au timu ambao wanakuelewa unachotaka,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents