Burudani

Ben Pol, Barakah The Prince na Jux waungana kwenye show ya LML

Ben Pol, Barakah The Prince na Jux na wameungana kufanya show pamoja yenye theme ya Valentine’s Jumamosi ijayo, February 18.

Show hiyo imepewa jina ‘Love, Melodies & Lights’ LML. Watatu hao, ‘Watakuwa katika jukwaa moja lenya sura ya upendo, muziki mzuri wa kugusa nafsi, na yote ni katika mwanga fulani unaoakisi hisia nzuri.’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents