Bekka Kuzindua Bilicanas


Pin It

Beka

Msanii wa muziki wa kizazi kipya toka Tanzania House of Talent THT, Beka amesema anatarajia kufanya vitu vikubwa zaidi ambavyo watanzania wamekuwa wakivikosa kutoka kwenye burudani katika uzinduzi wa wimbo wake wa Natumaini Remix.

Alisema kwa kuwa amejua hivyo, ndiyo maana amepanga kufanya vitu, vya ukweli na watanzania wengi watahisi kama yupo na R-Kelly kwenye jukwaa moja, huku akitumia bendi kutoa burudani hiyo juma pili pale Bilicanas akiongozwa na Mataluma.

Pin It

Add a comment

comments