Burudani

Beef: Davido na Wizkid watambiana watu wanaojaza kwenye show zao!!

Beef kati ya Wizkid na Davido imeibuka tena hivi karibuni na mastaa hao wawili wameonekana kuitumia kibiashara zaidi.

page

Kupitia Twitter, mastaa hao wenye mashabiki wengi, wanatambiana idadi ya watu wanaowapata kwenye show zao.

Alianza Wizkid aliyeandika: “Thank you so much New York!!! Amazing show last night. Big up @wale and @akon for showing me love. Proper show. Proper venue. Boys talk. Men walk!”

Davido alijibu kwa msululu wa tweets ikiwemo “Pull half my crowd before talking sh*t. Looser!” Wiz hakukaa kimya naye alijibu: I already killed NY!! London 26th Sept!! Manchester 28th sept!!! Big surprise!! Still proper shows!! proper venues!!! #f*ckboysuckad*ck!!

Davido akajibu: It’s all fun and games till somebody gets knocked out! Ask around! I got them hands!!You will always have a H factor! Smello.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents