Burudani

Beanie Sigel aandika wimbo wa Meek Mill uliomdiss The Game

Rapper wa Marekani, Beanie Sigel amethibitisha kumsaidia Meek Mill kuandika wimbo wa ‘OOOUUU’ ambao ni diss kwa The Game.

beanie-sigel-meek-mill

Beanie amemuambia mtangazaji wa 92Q, Persia Nicole kuwa Meek Mill alimfuata studio akamsaidia kuandika baadhi ya mashairi ya diss hiyo lakini kwa upande wake hana bifu na The Game, ila bifu lililopo ni kati ya Meek Mill na The Game.

“[Meek] didn’t say nothin’ to get me on the track,” alisema Sigel. “I just happened to come in the studio, so I just was helping him out with some lyrics, and the situation kind of played out like it did. It’s really no beef, especially between me and Game.”

“Me and Game got a good relationship. Had one for years. So it’s not me and Game’s beef. That’s The Game and Meek Mill beef. Basically, I’m just representing for my city. That’s it,” ameongeza.

Meek Mill aliachia wimbo huo wa diss wiki iliyopita baada ya The Game kuachia wimbo wa ‘92 Bar’ ambao ni diss kwa Meek Mill.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents