BBA The Chase: Feza na O’neal wapigana busu, mapenzi motomoto yaanza rasmi


Pin It

It’s official, Botswana ni mashemeji/mawifi zetu. Asubuhi ya leo, Feza na mBotswana Oneal wameamua kufanya kweli kwa kukiss huku wakipeana joto kwenye kitanda walichokuwa wamelala pamoja.

freza-oneal_kiss_lg_74d1aab9-1a24-4e1d-bbad-f477f8add475_081324090855797

Wakiwa wamelala pamoja kama mke na mume, washiriki hao waliopo Ruby House walisikika wakiteta yaliyojiri jana usiku kwenye Eviction.

“Poor Betty and Motamma,” Oneal alinong’ona. “I am not ready for tomorrow’s Nominations,” Feza alisikika akimwambia Oneal. “You will be okay dear,” shem wetu alimpoza Feza na kisha wakavuta shuka na kuanza kupigana busu. Haya Haya, kumekucha sasa!!

Pin It

Add a comment

comments